mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Ndiyo maana tunamuhitaji LisuHuyu kwa sasa sio Waziri, labda kwa sababu kipindi hiki hatufuati katiba..
Tusaidie na sisi ambao hatujawahi kuisoma hiyo katiba, inasemaje kuhusu ukomo wa uwaziri......!Huyu kwa sasa sio Waziri, labda kwa sababu kipindi hiki hatufuati katiba..
Kasome mkuu bado mda unaoTusaidie na sisi ambao hatujawahi kuisoma hiyo katiba, inasemaje kuhusu ukomo wa uwaziri......!
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Nimekuelewa VemaHuyu kwa sasa sio Waziri, labda kwa sababu kipindi hiki hatufuati katiba..
Na binadamu je?,Azory Gwanda,Ben saanane,etc.Ni jambo jema kulinda na kutunza Wanyama lkn kwa nini hao tu? Kwa nini siyo Mbwa wetu, Paka, Nyoka ambao hata yeye Kigwangala mwenyewe siajabu hajali kama wakiuliwa au kuumizwa?
Na binadamu je?,Azory Gwanda,Ben saanane,etc.
Bila shaka hata leo ni wao ndio wamefanya hivyoJumatatu gari za msafara za magufuli moja lilimgonga dereva wa Bajaj na bajaji yake pale mapinga.
Jamaa alikufa hapohapo.
LAKINI HAUWEZI SIKIA POPOTE HABARI YAKE.
Bila shaka hata leo ni wao ndio wamefanya hivyo
Kuhusu Binadamu siwateteti sana kwa maana Binadamu anaweza kujitetea, ila Wanyama ni jukumu letu kuwalinda, na ni wote, ...