Dr. Kigwangala : VX V8 iliyomgonga swala mdori ijisalimishe

Dr. Kigwangala : VX V8 iliyomgonga swala mdori ijisalimishe

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Waziri wa maliasili na utalii amesema kuwa Gari aina ya VX V8 iliyokuwa inaendeshwa kwa kasi ili mgonga swala na kumsababishia kifo katika eneo la mdori magugu huko manyara.
Amemtaka dereva wa gari hilo kuripoti Polisi au hifadhini kwa hatua za kisheria.

Screenshot 2020-10-25 at 11.02.36.png


Maoni yangu
Huyu jamaa lazima ashughulikiwe na wanasimba wa nzega
 
Ni jambo jema kulinda na kutunza Wanyama lkn kwa nini hao tu? Kwa nini siyo Mbwa wetu, Paka, Nyoka ambao hata yeye Kigwangala mwenyewe siajabu hajali kama wakiuliwa au kuumizwa?
 
Jumatatu gari za msafara za magufuli moja lilimgonga dereva wa Bajaj na bajaji yake pale mapinga.
Jamaa alikufa hapohapo.
LAKINI HAUWEZI SIKIA POPOTE HABARI YAKE.
Bila shaka hata leo ni wao ndio wamefanya hivyo
 
Kuhusu Binadamu siwateteti sana kwa maana Binadamu anaweza kujitetea, ila Wanyama ni jukumu letu kuwalinda, na ni wote, ...

Una uhakika wote wanaweza kujitetea,, unafikiri wote wanakuwaga na mguu wa kuku kama yule jamaa wa Mara,,,aliyewapiga za miguu?😭😭😭
 
Back
Top Bottom