johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kejeli za namna hii lazima aondoke, lazima afyekwe na coronaWaziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe.
Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie bila kuchelewa.
Maendeleo hayana vyama!
rip's zimepungua lkn.......Ndipo tulipofikia lakini bado tunakwenda πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Huko wizara ya Mali asili na utalii kunakufa Sasa unakimbilia Majani pori ili kutibu Corona,jiongeze kubuni kuongeza Pato la Taifa kwenye wizara yako.Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe.
Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie bila kuchelewa.
Maendeleo hayana vyama!
wewe ukijilinda na mwingine asijilinde ni sawa na kazi bure mkuu.Huo ndo ukweli,kila mtu ajilinde anavyojua usingoje mtu akuelekeze namna ya kulinda afya yako,,kila mtu ataubeba msalaba wake
Huko wizara ya Mali asili na utalii kunakufa Sasa unakimbilia Majani pori ili kutibu Corona,jiongeze kubuni kuongeza Pato la Taifa kwenye wizara yako.
π π π π π π..hawa wazee watatuuwa sasa..kila jani ni dawa..mwisho tutalishana sumu sasa
Basi hatuna sababu ya kua na serikali wala kiongozi. Nini maana ya mtu kuitwa kiongozi kaa hawezi kuwapa watu mwanga au kamahawezi kuwaongoza sehemu salama?Huo ndo ukweli,kila mtu ajilinde anavyojua usingoje mtu akuelekeze namna ya kulinda afya yako,,kila mtu ataubeba msalaba wake
Ndio anakuongoza unywe hayo majani bwashee!Basi hatuna sababu ya kua na serikali wala kiongozi. Nini maana ya mtu kuitwa kiongozi kaa hawezi kuwapa watu mwanga au kamahawezi kuwaongoza sehemu salama?