Dr Kigwangalla asema Afya ni swala binafsi kila mtu apambanie afya yake, atoa dawa yake ya majani inayotibu Corona

Dr Kigwangalla asema Afya ni swala binafsi kila mtu apambanie afya yake, atoa dawa yake ya majani inayotibu Corona

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe.

Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie bila kuchelewa.

Kigwa.JPG

Maendeleo hayana vyama!
 
Kama gari basi cha kujali ni kuzunguka kwa matairi tu! haya mengine ni mbwembwe. tutafika tu tuendapo japo hatupajui. ngoja twende tutakapoishiwa mafuta ndo tutajua tumefika tunapokwenda!
 
Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe.

Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie bila kuchelewa.

Maendeleo hayana vyama!
Kejeli za namna hii lazima aondoke, lazima afyekwe na corona
 
HAYO MAJANI YAMEFANANA NA MTI UNAOITWA MPATAKUVA, MTI AMBAO HUTIBU MARADHI MENGI SANA, YAKIWEMO AINA ZA MATUMBO YANAYOUMA, AINA YA MATATIZO YA KINYWA, N,K
UNA MAJINA TOFAUTI KUTOKANA NA WATU WANAOISHI MAENEO YAO NA MAKABILA YAO,
HAYA NI BAADHI YA MAJINA YAKE, SASA WEWE ULIZIA WATU AMBAO WANAKAA SEHEMU HIZO,
KIGWENO - MGHOMBO
KIPARE - MWACHE
KIHAYA - MSHUNSHU
KIMASAI - OREMIT
KIGOMA - MLAVUMBA
KICHAGA - LAKA

MATIBABU YAKE AMBAYO SIO RASMI YA HUU UGONJWA WA KORONA, YACHEMSHE MAJANI YAKE KAMA VILE UNAVYOTUMIA KWA MATATIZO YA TUMBO LA ZINGIZI (PERIOD) , FUKIZA, IKISHA UNYWE NUSU KIKOMBE, ASUBUHI NA USIKU.
HIVI NIMEANDIKA KWA FIKRA ZANGU TUU, KUPONA KUPO MIKONONI KWA ALIYEUMBA, KWA HIVYO NI KUMUOMBA MUUMBA NA KUWA NA IMAANI KUWA ATAKUPONESHA.
USIJE UKALA MAJANI MABICHI NI MAKALI.
KWA WALE WATAKAOTUMIA NA WAKAPONA WAMSHUKURU ALIWAUMBA NA KUTOA USHAHIDI KUWA IMEWASAIDIA, ILI NA WENGINE WAWEZE KUTUMIA HIYVO HIVYO.
AHSANTENI
 
Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe.

Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie bila kuchelewa.

Maendeleo hayana vyama!
Huko wizara ya Mali asili na utalii kunakufa Sasa unakimbilia Majani pori ili kutibu Corona,jiongeze kubuni kuongeza Pato la Taifa kwenye wizara yako.
 
Huo ndo ukweli,kila mtu ajilinde anavyojua usingoje mtu akuelekeze namna ya kulinda afya yako,,kila mtu ataubeba msalaba wake
wewe ukijilinda na mwingine asijilinde ni sawa na kazi bure mkuu.
 
Huko wizara ya Mali asili na utalii kunakufa Sasa unakimbilia Majani pori ili kutibu Corona,jiongeze kubuni kuongeza Pato la Taifa kwenye wizara yako.

Huyo Ni daktari wa binadamu kwa taaluma aliyosomea... Inasikitisha Sana na yeye anashauri tiba za kienyeji zisizofanyiwa utafiti...

Hatari Sana.
 
😁 😁 😁 😁 😁 😁..hawa wazee watatuuwa sasa..kila jani ni dawa..mwisho tutalishana sumu sasa

Nasubiri rais wao aseme na Marijuana Ni tiba ya Corona uone watu watakavyojifukiza bangi ya kutoka Jamaica.
Alisikika mlevi mmoja akiongea
 
Huo ndo ukweli,kila mtu ajilinde anavyojua usingoje mtu akuelekeze namna ya kulinda afya yako,,kila mtu ataubeba msalaba wake
Basi hatuna sababu ya kua na serikali wala kiongozi. Nini maana ya mtu kuitwa kiongozi kaa hawezi kuwapa watu mwanga au kamahawezi kuwaongoza sehemu salama?
 
Back
Top Bottom