Tetesi: Dr Kigwangallah Waziri mpya wa Afya

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya.

Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
 
Hatari sana
 
Mungu aepushe balaa hili!! I hope it is not true!! Itakuwa ishara mbaya kwa serikali ya Mama Samia.
 
Naona siku hizi mkitaka uwaziri mnakuja kujipigia chapuo humu JF.....
 
Mungu aepushe balaa hili!! I hope it is not true!! Itakuwa ishara mbaya kwa serikali ya Mama Samia.
Kipi cha ajabu ndugu?
Kama January yule mpigaji karudi ndani ya serikali na anakula kesi ya taifa kwa kasi ya supersonic, nani atashindwa kurudishwa?
Hivi kuna ishara mbaya zaidi ya ile kesi ya mchongo aliyobambikiziwa Mbowe?
 
Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya.

Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
Safi sana
 
Dikteta mbona aliteua majambazi kina Sabaya mlikuwa mnasifia tu

Huyu Kingwangalla si nae alikuwa kwenye genge la KUSIFIA JUHUDI ZA JIWE MPAKA PALE ALIPOKOMBA hela za Wizara ya utalii!!! Halafu leo mnasema mama amesiliza ushauri toka Msoga amemrudisha cabinet!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…