Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Dr JJ anahali gani akisikia ivo. Hivi wale majamaa walikuwa wanagombania nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachonipa matumaini,ni watu kwa wingi sana wameelimika sasa. Wanajua michongo inayoendelea. Wanajua uozo uliopo. Ipo sikuKipi cha ajabu ndugu?
Kama January yule mpigaji karudi ndani ya serikali na anakula kesi ya taifa kwa kasi ya supersonic, nani atashindwa kurudishwa?
Hivi kuna ishara mbaya zaidi ya ile kesi ya mchongo aliyobambikiziwa Mbowe?
Urembo au Nzega?Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya.
Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
Ni rahisi Kalemani kurudi kama Waziri wa Afya kuliko huyo HAYAWANI, njooni mniue nipo Ubungo KiboTaarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya.
Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
Ataenda wizarani getini tena kukamata wachelewaji
Huyu ndo ndo alikuwa wizara ya maliasili na utalii ambapo CAG aliibua uozo wa kutisha kwenye matumizi ya pesa za umma......mil. 900 zimetumika bila kuwa na risiti za malipo, ni mwendo wa kujichotea tu, naona hangaya anajiundia himaya ya mchwa walewale waliozoeleka.Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya.
Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.