Tetesi: Dr Kigwangallah Waziri mpya wa Afya

Tetesi: Dr Kigwangallah Waziri mpya wa Afya

Kipi cha ajabu ndugu?
Kama January yule mpigaji karudi ndani ya serikali na anakula kesi ya taifa kwa kasi ya supersonic, nani atashindwa kurudishwa?
Hivi kuna ishara mbaya zaidi ya ile kesi ya mchongo aliyobambikiziwa Mbowe?
Kinachonipa matumaini,ni watu kwa wingi sana wameelimika sasa. Wanajua michongo inayoendelea. Wanajua uozo uliopo. Ipo siku
 
Merry Christmas And Happy New Year
Anakula Kitoga Sasa Hivi Bwana Hamis
 
CAG alituambia Kigwangwala kapiga za kutosha Maliasili katika report yake, PAC haijatoa majibu bado na Samia anampa uwaziri tena?
Atakuwa kichekesho mbele ya jamii
 
Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya.

Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
Ni rahisi Kalemani kurudi kama Waziri wa Afya kuliko huyo HAYAWANI, njooni mniue nipo Ubungo Kibo
 
Kwani nchi hii Kuna watu hati ya kuongoza au kuteuliwa? Maana naona ngazi za uteuzi zina recycle watu wale wale kama vile nchi haina watu wengine wenye sifa za uongozi. Kuna baadhi ya wanasiasa wamekuwepo madarakani miaka nenda Rudi, japo uongozi wao hauna weledi wala si viongozi waliotukuka (wanajisahau sana na kulewa madaraka)
 
Kigwangala ni team Msoga sasa atabaki vp nje ya mfumo? maana ikulu ipo chini ya system ya Msoga clan
 
Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya.

Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
Huyu ndo ndo alikuwa wizara ya maliasili na utalii ambapo CAG aliibua uozo wa kutisha kwenye matumizi ya pesa za umma......mil. 900 zimetumika bila kuwa na risiti za malipo, ni mwendo wa kujichotea tu, naona hangaya anajiundia himaya ya mchwa walewale waliozoeleka.
 
Wakumbusheni kuwa dk zinayoyoma .....wawahi kufanya mabadiliko wanayotaka......
Muda utaisha
 
Mama yupo busy na kubalance gender! Atapewa mwanamke hiyo wizara.
 
Back
Top Bottom