Dr Kimei Vs Nsekela: CRDB

Dr Kimei Vs Nsekela: CRDB

Uongozi wa Nani Kati ya Hawa wakuu wawili wameweza kuifanya benki kufanya vizuri kwenye soko na gawio kwa wanahisa?
Kimei aliipaisha benk kutoka chini sana hadi kuwa benk kubwa nchini.
Nsekela anatekekeza tu yaliyoachwa na kimei
 
Za ndaani kabisa, vitabu vya hesabu vya CRDB haviko vizuri, hizi za ndaani kabisa. Hata uwakilishi wao mahakamani, umekuwa wa kuokoteza, wameacha ku-outsource kutokana na uhaba wa fedha. Hata katika uharaka wa kutoa mkopo wamepunguza, wako kimachale machale hivi.

Halafu Nsekela kakosa ubunifu, benki imepoa, haina products, na haisikiki sana katika media. Ila nasikia anavizia jimbo huko kwao Kagera, na amekopesha BAKWATA kujenga kitega uchumi Bukoba.

Tuombe mungu tu kwenye ajira asijaze wanaopenda maji ya zamzam
Mkikosa hoja mnakimbilia udini.
 
Bank hii walijazana ndugu ndio chanzo cha kuimaliza , wadada wana nyoda hata ukute madirisha matatu m, moja humkuti mtu ...Hayo mawili wapo slow kinoma mara watoke hawana mpya kwa kweli .

Mishahara ya kawaida kwanza , wanafanya kazi kwa mazoea ..
Acha chuki
 
Nsekela kaanzisha CRDB BURUNDI, na DRC Kaanzisha CRDB insurance (CIC) na CRDB Foundation ameikuza CRDB sasa ni biggest bank by asset! Kwa hiyo apewe maua yake.

NMB wanategemea zaidi wafanyakazi wa serikali almost 80% ya wafanyakazi wana account NMB
Crdb Burundi,crdb insurance zimeanzishwa wakati WA kimei na mkurugenzi WA crdb insurance anaitwa Arthur Mosha
 
Kimei anamzidi mno nssekela
Bank Hadi kuwa kubwa namna hiii ni kupitia mikono ya Dr kimei,tangu bank ikiwa changa mwaka 1998 SII Michezo Hadi anaondoka Dr kimei, CRDB ndio ilikuwa bank inayoongoza kwa kuwa na matawi Mengi na huduma za kidigitali
 
Haya mabenki mawili yanafaidi kutokana na watumishi wote kupitisha mishahara kwao tu.
Siku wakisema uchaguzi uwepo, hapo ndo ukweli utajulikana
 
Kimei jasiri sana. Kutoka benki kuu na kwenda kuanza kuongoza benki ndogo, alikuwa na vision pana sana.
 
Crdb Burundi,crdb insurance zimeanzishwa wakati WA kimei na mkurugenzi WA crdb insurance anaitwa Arthur Mosha
Siyo kweli, boss Wa Crdb Insurance anaitwa Mnzava imezinduliwa mwezi huu kimei alianzisha bancassurance ambazo zipo kila benki. CRDB INSURANCE COMPANY ni kampuni inayojitegemea Kama Jubilee, Sanlam au NIC
 
Back
Top Bottom