Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Kimei ndiye alimchagua Nsekela, so naamini aliona ana kituNaona crdb ya Kimei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimei ndiye alimchagua Nsekela, so naamini aliona ana kituNaona crdb ya Kimei
Mkuu uzuri wa KCB ni upi?Kati ya benki inayotoa huduma mbovu tz ni crdb ikifuatiwa nmb,posta .Kwa uduni wa hizi benki zilinifanya nihamie KCb ambao hakuna usumbufu.
Kwa hiyo BAKWATA wamechukua mkopo wa riba?amekopesha BAKWATA kujenga kitega uchumi Bukoba.
Kimei aliipaisha benk kutoka chini sana hadi kuwa benk kubwa nchini.Uongozi wa Nani Kati ya Hawa wakuu wawili wameweza kuifanya benki kufanya vizuri kwenye soko na gawio kwa wanahisa?
nakubali.Kimei ndiye alimchagua Nsekela, so naamini aliona ana kitu
Mkikosa hoja mnakimbilia udini.Za ndaani kabisa, vitabu vya hesabu vya CRDB haviko vizuri, hizi za ndaani kabisa. Hata uwakilishi wao mahakamani, umekuwa wa kuokoteza, wameacha ku-outsource kutokana na uhaba wa fedha. Hata katika uharaka wa kutoa mkopo wamepunguza, wako kimachale machale hivi.
Halafu Nsekela kakosa ubunifu, benki imepoa, haina products, na haisikiki sana katika media. Ila nasikia anavizia jimbo huko kwao Kagera, na amekopesha BAKWATA kujenga kitega uchumi Bukoba.
Tuombe mungu tu kwenye ajira asijaze wanaopenda maji ya zamzam
Kuna udini hapo?Mkikosa hoja mnakimbilia udini.
Acha chukiBank hii walijazana ndugu ndio chanzo cha kuimaliza , wadada wana nyoda hata ukute madirisha matatu m, moja humkuti mtu ...Hayo mawili wapo slow kinoma mara watoke hawana mpya kwa kweli .
Mishahara ya kawaida kwanza , wanafanya kazi kwa mazoea ..
Crdb Burundi,crdb insurance zimeanzishwa wakati WA kimei na mkurugenzi WA crdb insurance anaitwa Arthur MoshaNsekela kaanzisha CRDB BURUNDI, na DRC Kaanzisha CRDB insurance (CIC) na CRDB Foundation ameikuza CRDB sasa ni biggest bank by asset! Kwa hiyo apewe maua yake.
NMB wanategemea zaidi wafanyakazi wa serikali almost 80% ya wafanyakazi wana account NMB
CorrectKimei aliipaisha benk kutoka chini sana hadi kuwa benk kubwa nchini.
Nsekela anatekekeza tu yaliyoachwa na kimei
Kiasi kuna ukweli Katika hili.Haya mabenki mawili yanafaidi kutokana na watumishi wote kupitisha mishahara kwao tu.
Siku wakisema uchaguzi uwepo, hapo ndo ukweli utajulikana
Siyo kweli, boss Wa Crdb Insurance anaitwa Mnzava imezinduliwa mwezi huu kimei alianzisha bancassurance ambazo zipo kila benki. CRDB INSURANCE COMPANY ni kampuni inayojitegemea Kama Jubilee, Sanlam au NICCrdb Burundi,crdb insurance zimeanzishwa wakati WA kimei na mkurugenzi WA crdb insurance anaitwa Arthur Mosha
Hamna bank hapo , unajaribu kutetea wezi wenzioAcha chuki
Hayo siyo majungu?Uongozi wa Nani Kati ya Hawa wakuu wawili wameweza kuifanya benki kufanya vizuri kwenye soko na gawio kwa wanahisa?