Ana mke wa kipemba yule mama ni mtata sijawahi kuonaMchambuzi mkongwe wa mpira.Kwa sasa yupo TV1.
Mzee anajua sana historia na matukio makubwa kwenye ulimwengu wa mpira.
Mtaani kuna tetesi kuwa yeye ni mmoja wa waanzilishi wa betting.he kuna ukweli?
Tujuzane Historia,kama aliwahi kucheza soka tujuzane tafadhali.
Huyu ni hazina kwa taifa.Tusisubiri mpaka aage dunia ndo tupate kumfahamu.
Hahahaa!Ana mke wa kipemba yule mama ni mtata sijawahi kuona
Siri za ndani[emoji2] [emoji2] utata hadi kwa mzee
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ila ww umezijua [emoji2] [emoji2]
Edo wakawaida kwenye soka ila ana zile mbwembwe zake za mitandaoni ndo maana kawateka wengi ila huyu babu ni fundi wa soka.Analijua kiundani yani.dr leacky mmoja ni sawa na eddo kumwembe 21
Kumbe ni udaktari wa uchambuzi.Dr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'
Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....
Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'
Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?
Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
Dr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'
Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....
Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'
Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?
Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
dtv kipindi hicho tunaangalia hadi uefaDr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'
Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....
Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'
Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?
Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
dtv kipindi hicho tunaangalia hadi uefa
anataja hadi sub hii ikiingia wanashinda kipindi hicho akialikwa edo watu wanalalamika
liverpool vs milan mchambuzi yeye aisee kitambo
edo namkubali ila Dr leaky kupotea kwake kwenye game ndio kumempa nafasi edo