Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una namba yake ya simu?Watoto wadogo wengi. Namshangaa mtu anasema mzee anazidiwa na Edo. Akina Edo wamejifunza kwake. Enzi hizo Edo anajiumauma. Mzee anampa maelekezo na kumpa imani. By the way, huyu mzee ni hatari sana hata kwenye kamari ni mbaya kupita maelezo. Anakula hela za matajiri wakituruki, wahindi na wazungu kwenye ubashiri huko kwenye macasino. Ni namba mbaya weka mbali!
Kumbuka yeye ni MCHAMBUZINa kwanini wasimtumie hata kwenye benchi la ufundi taifa stars
Namba ya Dr sina ila nina ya Edo. Kama wamuhitaji Dr labda nikupatie ya Edo then umuombe Edo.Una namba yake ya simu?
Huyu huyu ,wanatoka Kijiji kimoja na Askofu alikuwa anauza kanda za muziki bolingo , kavasha ,enzi ya memory QKakobe huyu huyu?
Wengi hawajui kama ye kwa tz ndie kafungua njia kuwapata kina kumwembe na wengineDr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'
Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....
Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'
Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?
Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
Hapana ilikuwa euro 96 dtv imepamba moto hapoSawia kabisa!
Naukumbuka vyema kabisa uchambuzi wake wa Euro '96.
Halafu...hivi pia hakuchambua World Cup '94 ITV?