Dr. Leakey Abdallah yupo TV 1

Dr. Leakey Abdallah yupo TV 1

Huyu jamaa kiboko yake ni mwl Alex Kashasha
 
Watoto wadogo wengi. Namshangaa mtu anasema mzee anazidiwa na Edo. Akina Edo wamejifunza kwake. Enzi hizo Edo anajiumauma. Mzee anampa maelekezo na kumpa imani. By the way, huyu mzee ni hatari sana hata kwenye kamari ni mbaya kupita maelezo. Anakula hela za matajiri wakituruki, wahindi na wazungu kwenye ubashiri huko kwenye macasino. Ni namba mbaya weka mbali!
 
Una namba yake ya simu?
 
dr leakey nakumbuka alliwah sema inambidi awe anakaa pembeni katik uchambuz ili kuwapisha vijana waendeleze kazi hii ya uchambuz mpira... Kwa kufanya hivyo kumesaidia kuibuka kwa kina jeff lea, shafii dauda, eddo na wengine wengi... Leakey alitoa msaada sana kwa vijana hasa eddo,, na ndio maana utaona uchambuz wa eddo unafanana sana na wa baba yake huyu mlezi aliyemfundisha kazi hii... Eddo hana papara, mihemuko, na huwa anaelewa kiwango cha mchezaj mmoja mmoja na anaweza fiti vip katika mechi husika.. Yote hayo amefundishwa na baba yake huyu aitwaye dr leakey... Kwahiyo eddo amepitia katika mikono ya huyu mzee na najua dr leaky atakuwa anajivunia sana eddo kama mwanafunzi wake kati ya wachambuzi wote waliopo tanzania..
 
Dr. Leaky ni noma, Nilianza kupenda mpira baada ya kuona Dr akichambua pamoja na historia yake
 
Dr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'

Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....

Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'

Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?

Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
Wengi hawajui kama ye kwa tz ndie kafungua njia kuwapata kina kumwembe na wengine
Na pia kuelezea historia kwanza huwa ndio aina yake ili kujenga hoja kwenye anachotaka kusema
 
Hakuna mchambuzi bora wa soka kama Dr. Leakey wangine bado sana huyo ni kichwa hasa
 
Dr.Leakey atabaki numero uno in tz
 
Back
Top Bottom