Wengine hawakuwa na luninga enzi hizo mkuu,wengi wameanza kumiliki luninga na visimbusi dtv ishapotea.walokuwa na tv miaka ya 90 mpaka early 2000 walikuwa wakuhesabika mtaani,hasa huku uswahilini
Mkuu sikuwa mpenzi sana wa mpira so sina uhakika,ila hilo jina kama sio geniMkuu utakuwa unazikumbuka zike show za "Football made in Germany"
Football made in Italy
Toa Huyo Jeff..hana uwezo wa kuchambua mechi zaidi ya kuzungumzia Man u..na kupenda kuongea Yy tu wakati unakuta wanaochambua mechi hiyo wapo wengi.Liki Abdallah yupo vizuri kihistoria ila kwa upande wangu kwa kizazi chetu cha sasa EDO Kumwembe na Jef Leah wapo vizuri
Mkuu sikuwa mpenzi sana wa mpira so sina uhakika,ila hilo jina kama sio geni
Mkuu utakuwa unazikumbuka zike show za "Football made in Germany"
Football made in Italy
Mie sio mshabiki wa soccer ila kwa huyu Dr. Nilipenda mpira jamaa anakipaji cha kuongelea soccer. I really miss this guy.Kwa Tz hakuna wakufanana naye ila wanajitahidi.
Utekaji umezidi dar asije akatekwa mzee wa watuNamba ya Dr sina ila nina ya Edo. Kama wamuhitaji Dr labda nikupatie ya Edo then umuombe Edo.
Post ya zamani mkuu muwe mnasoma tareheUtekaji umezidi dar asije akatekwa mzee wa watu
Zamani hizo tulikuwa tunamuona bonge la mchambuzi wa mechi za majuu.....aaah kumbe anakesha kwenye mitandao.Mzee kwa stori huyu
Sema alikua ananitia hamasa sana kumsikiliza. Kipindi chanel 10 inaonesha uefaZamani hizo tulikuwa tunamuona bonge la mchambuzi wa mechi za majuu.....aaah kumbe anakesha kwenye mitandao.
Itakuwa Dr. umeanza kumsikia juzi juzi tu, ungefstilia euro96 na WC98 ungemjua huyu bwana vizuri, alikuwa anakwambia kipindi cha pili inabidi aingie fulani ndio atabadili tokeo na kweli inakuwa hivyo, Abdallah ana uwezo mkubwa wa kuusoma mchezoBinafsi Tanzania hakuna mchambuzi bora kama Mwalimu Kashasha (RIP) na Dr. Leaky wengine wote ni wachambuzi wa janjajanja.
Dr ana style yake unajuwa ni kama umekaa na babu halafu anakupa story una enjoy kusikiliza anajuwa mambo ya soka japo sio kwamba lazima anajuwa kuchambua mechi inayochezwa ila anajuwa anaongea nini ni style yake iko tofauti anapenda kuongelea mambo ya nyuma na kuna watu wanapenda. Sasa hawa wachambuzi waleo wanapenda ku copy yaliyoko kwenye mitandao halafu wana report tu inachukiza mpaka misemo ya kizungu utasikia press ya juu na maneno mengi ya kizungu ili kuonesha wanajuwa lakini wewe unaongea na watu tofauti sasa kuna shida gani ukaongea kiswahili ukaeleweka. Usiongelee jambo hata mimi mtazamaji nikiangalia game najuwa mapungufu yako wapi na nadhani naelewa maana nimejitest team yangu ya liver wakicheza kuna wakati nasema hapa fulani atoke aingie fulani na kweli kocha anafanya kama mawazo yangu, kwa hawa wachambuzi ili uitwe mchambuzi kuna wakati unatakiwa kuliona jambo labda sio kila mtu ana upeo wa kuliona ukaliongelea sio umekazania tu pale hakuna press pale Highline defence halafu usiongelee una maanisha nini lakini lengo lako wasikuelewe ili wakuone uko smart.Dr Liki ni habari nyingine. Peleka mbali huo upuuzi wa kina Edo
TV1 inapatikana wapi?Mchambuzi mkongwe wa mpira.Kwa sasa yupo TV1.
Mzee anajua sana historia na matukio makubwa kwenye ulimwengu wa mpira.
Mtaani kuna tetesi kuwa yeye ni mmoja wa waanzilishi wa betting.he kuna ukweli?
Tujuzane Historia,kama aliwahi kucheza soka tujuzane tafadhali.
Huyu ni hazina kwa taifa.Tusisubiri mpaka aage dunia ndo tupate kumfahamu.
TV1 Ilifariki 4 years ago.TV1 inapatikana wapi?