Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

Wewe Dk.Leaky unafananisha na hizo takataka zako kweli?
Nilitaka kusema hvyo aisee nadhani HV sas ianzishwe chuo Cha ucmbauz was michozo ili kupunguza wimba la watangazaji wa mchezo huu kama kina priva osca ocar hao walipazwa kuwa waauz mahindi na. Ndizi kina jembe sijui kazumarib yuke alipawazwa kuwa msikitini. Anaswalisha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dr Leaky Abdallah hana mpinzani na ni pioneer tangu enzi za analogy kabla hata hawa vijana wa siku hizi hawajaanza ku Google na kutuletea copy paste za goal.com,

Anayemfuatia ni RIP mwalimu Kashasha ingawa yeye alikua mshereheshaji zaidi ya mchambuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…