Edo anaungansha story ya man u anaipeleka kwao tunduru,anaongezea na nondo alizosoma kwenye riwaya za mtobwa anatia chumvi na maneno ya mtaani! Unapata kitu kmetulia unarudia kusoma tena na tena. Wapi mwanaspoti ya leo! Edo ni nyoko eti!
Edo ndio kila kitu kaka, shafih ana mambo mengi sometimes anasahau kutaja hadi muda wa mechi
huo ni ubunifu,na ndio kitu kinachotakiwa katika kazi yoyote ile!
Vipi kuhusu Shafih na Jeff?
Wote makanjanja tu!
Leaky huwez kumfananisha na hao jamaa daah!
Edo ndio anakimbiza kwa sasa
Dauda ugomvi wake na mzee Akilimali uliisha....?si ndo hapo mkuu,hao kina Dauda wabwatukaji,Leak ni mchambuzi. Dauda si ndo yupo kwny payrol ya Yanga