Dr Levy: Ali Kiba ni dozi ya kutwa mara tatu

Na ni mmoja Kati ya wasanii ambao hawana tattoo hata moja mwilin mwake
 
sure..... fact
 
Mkuu Nasibu ni Mfanyabishara kwenye Muziki.
Kumuita mfanya biashara kwenye muziki hakumfanyi yeye kuwa sio mwanamziki, tena sio mwanamuziki tu bali ni very successful musician.
Btw, sauti nzuri ya alikiba ni kwa vigezo gani, na hivyo vigezo ni universal au hisia binafsi. Hivi sauti nzuri aionavyo fulani ni lazima iwe sauti nzuri niionavyo mimi?
 
Unataka kusemaje?!

Diamond Ana sauti nzuri kuliko Ali Kiba?!

Hukuwahi kumsikia Diamond akisifia sauti nzuri ya Ali Kiba?!
 
Unataka kusemaje?!

Diamond Ana sauti nzuri kuliko Ali Kiba?!

Hukuwahi kumsikia Diamond akisifia sauti nzuri ya Ali Kiba?!
Kwahiyo sauti ya alikiba inakuwa nzuri kwakuwa Diamond amesema? hujajibu swali la juu "sauti nzuri ni ipi" ?
 
Kwahiyo sauti ya alikiba inakuwa nzuri kwakuwa Diamond amesema? hujajibu swali la juu "sauti nzuri ni ipi" ?
Ndio.

Diamond alisema...Na Jamii nzima inasema namna hiyo.

Ana miaka zaidi ya 10 kwenye muziki kama mpaka Leo ujagundua hilo basi haya maneno yangu hayawezi kubadili lolote...

Endelea kuamini unachoamini...hiyo Ndio inayofanya dunia izunguke.
 
Moja ya wimbo ambao umeniacha njiani ni-mali yangu.

Nimeusikiliza huu wimbo lakini naona yale yale ya mpoto.
 
Na kwa mbaliiiiii anakuja christian bella
 
Kuwa mshabiki wa kiba ni kupunguza siku za kuishi siwezi dhubutu hata siku moja.
 
Uzuri ni kwamba team kiba wanafuatilia mambo yote ya wcb tena sana lkn team mond hawanaga time na kiba ndio maana kazi kutukana wcb kila siku but ss hatujui hata show yake inayofuata anafanya lini ila waulize team kiba wanazo ratiba zote za mond, hahaha huu mchezo hautaki hasira, I love this game habari mnayo na hamtowezaaaaa
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mtu aliwahi kusema " muziki ungekuwa sauti ningemsaini wema sepetu" nligundua kwamba akikubali kwamba hamuwez kiba kwa sauti so akaamua kuleta propaganda ionekane kwenye kuimba sauti siyo kitu cha msingi lakini kauli ile ukiichambua kwa undani utagundua kwamba sauti ya kiba inamuumiza na kashajua hawez kuipata akaamua aponde na hapa ndo ule msemo wa " SIZITAKI MBICHI HIZI" unaposhika hatamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema Ali amegota na Marlaw utasemaje?!

Huyo mtu unaesema amegota last year kabeba tuzo 16+ za kimataifa sasa sijui umetumia vigezo gani kusema amegota.
tena tuzo 16+ nadhani kwa nyimbo moja tu au sanasana mbili, siyo huu muziki bigijii mtu anatoa nyimbo tatu kwa kufuatana na hata mwez hazipishani na bado hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm team kiba bro, najua tuna show Germany na sijui huyo simba mwenye sauti ya kike hata anafanya nn saa hizi so pllllllz acha kutusingizia hatumfatilii "mlezi wa wana" sisi tupo na KING

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…