Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So kutokuwa na tattoo kunamfanya awejeNa ni mmoja Kati ya wasanii ambao hawana tattoo hata moja mwilin mwake
sure..... factUkimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media. Ni kama kumpenda mwanamke ambaye hajui kama unampenda.Na mbaya zaidi hata hisia juu yako hana. Utaumia sana.
NdIo Ali. Hata mashabiki wake wanampenda kuliko yeye anavyowapenda. Anachofanya ni kuwapa kile alichopewa na Mungu. Sauti. Watu wanadata naye.
Wakati watu wengi sana wakimsifia kwa sauti ambayo anayo yeye tu ktk dunia hii. Kuna kitu wanakisahau. Ana tofauti sana katika tungo zake.
Sikiliza Mapenzi yana Run Dunia. Anamuimbia mapenzi mwanaume mwenzake. Ngumu sana mwenye akili ya kisoda kuelewa ule wimbo. Mchizi anamuimbia mchizi wake ngoma la mapenzi afu lina bamba mbaya. Hata R. Kelly na wenzake akili hii waliikosa.
Dem kaenda kwa Ali kumshitakia ujinga wa bwanaake. Of coz watoto wa kike wanapenda faraja. Ali akampa faraja.
Mchizi kugundua kaamua kumtosa mtoto. Mtoto kaamua kutangulia mbele ya haki. Alimpenda mchizi wake ila Ali alimpa faraja tu baada ya ushauri. Hata mimi ningemfariji kwa namna hiyo mtoto mzuri.
Kasikilize hilo ngoma ukiwa na akili timamu usichanganye na mawazo ya hali ya Wema Sepetu kwa sasa. Hutaelewa alichoandika Ali.
Kiba siyo wa nchi hii
Kinachofanywa na computer yeye anakitoa kwenye koromeo lake.
Kuna sauti kutoka kooni kwake ni ya pekee kuliko upekee wenyewe.Hawezi kusema ila Diamond na wenzake hicho kitu kinawaumiza sana.
Ali hajui kujitangaza. Ndo maana hata gari anayotumia haijulikani.
Ali hajui kiki. Ndo maana huwezi kumsikia akiongelea issue zake na madem zake. Hajui kujiongeza ndo maana husikii ana nyumba au shilingi ngapi kwenye account zake za bank.
Na ni ngumu kumkuta news room za udaku. Vyote hivyo hana lakini bado anawaumiza kichwa kundi kubwa la watu.
Katikati ya magwiji wa hizi kazi.
Fella,Tale na wenzao.Sallam muweke kando hajui fitna za game hili.
Pamoja na lundo la hao watu Alibbado anasimama nao katika mstari mmoja.
Ogopa sana.
Heshimu.
Hana anachowaweza zaidi ya lile koo lake na akili ya kuandika kinachotakiwa kuandikwa.
Hapa siyo suala la team flan.Ukweli uko wazi kuwa kuna upinzani wa wazi na wa siri kati ya Kiba peke yake na Diamond na watu wake. Huwezi kusikia management ya Ali ikimuongelea Diamond.Ila ni rahisi zaidi kusikia management ya Diamond ikiongea jambo la Kiba.
Ndo ukweli.
Watu wanaomzunguka Diamond huwezi kushindana nao hata kwa nusu saa.Game la muziki liko vyumbani mwao.Linawatii kuliko askari wa Dar mbele ya Makonda.Lakini Ali kaendelea kuwepo kwenye kilele bila kutumia nguvu.Alichonacho Ali kwenye koo angekuwa nacho Diamond dunia ingesimama.
Ni kama Ronaldo angekuwa na kile alichonacho Messi katika miguu yake.
Mashabiki wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na Diamond mitandaoni,wakati Kiba anawauliza wadogo zake vilipo viatu vyake vya michezo akacheze football bondeni pale Jangwani.
Diamond anajituma sana na muziki wake.Ali anatufanya tuamini kuwa muziki ni burudani na ufanywe kiburudani.
Wakati soko la muziki likilazimishwa liwe na muziki unaochezeka.Ali alikuja na ngoma kama Mac Muga ambao hauchezeki na siyo wa mapenzi na alikuja na ngoma ya Mwana ambayo sio wa mapenzi wala sio club bagger.ukakamata vibaya sana.
Kasikilize Karim.
Utagundua kuwa Kiba ni zaidi ya biti na promo.
Imeandikwa na mkongwe Dr.Levy Baba ubaya
Kumuita mfanya biashara kwenye muziki hakumfanyi yeye kuwa sio mwanamziki, tena sio mwanamuziki tu bali ni very successful musician.Mkuu Nasibu ni Mfanyabishara kwenye Muziki.
Unataka kusemaje?!Kumuita mfanya biashara kwenye muziki hakumfanyi yeye kuwa sio mwanamziki, tena sio mwanamuziki tu bali ni very successful musician.
Btw, sauti nzuri ya alikiba ni kwa vigezo gani, na hivyo vigezo ni universal au hisia binafsi. Hivi sauti nzuri aionavyo fulani ni lazima iwe sauti nzuri niionavyo mimi?
Kwahiyo sauti ya alikiba inakuwa nzuri kwakuwa Diamond amesema? hujajibu swali la juu "sauti nzuri ni ipi" ?Unataka kusemaje?!
Diamond Ana sauti nzuri kuliko Ali Kiba?!
Hukuwahi kumsikia Diamond akisifia sauti nzuri ya Ali Kiba?!
Ndio.Kwahiyo sauti ya alikiba inakuwa nzuri kwakuwa Diamond amesema? hujajibu swali la juu "sauti nzuri ni ipi" ?
Usiseme never usichokijua,,,,haya mambo yaache hvyo hvyoRuge hajawahi wala hata kuwa manager wa diamond never
Na kwa mbaliiiiii anakuja christian bellaKaribu kwenye timu ya muziki mzuri mkuu,sisi hatuna mbwembwe wala hatutumii nguvu nyingi sababu Kiba anaturahisishia kazi. [emoji4]
Unaanzaje kuumiza akili kumpamba mtu ambaye huitaji kuurudia mara mbili wimbo wake wowote ili uupende?
Ni Ali Kiba pekee nchi hii,hakuna mwingine tena kama yeye.
Duniani hukoKutafuta Kiki kwa kusema ukweli?!
Unadhani kila mtu ni kama Dimond na genge lake?!
[emoji3][emoji3][emoji3]Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media. Ni kama kumpenda mwanamke ambaye hajui kama unampenda.Na mbaya zaidi hata hisia juu yako hana. Utaumia sana.
NdIo Ali. Hata mashabiki wake wanampenda kuliko yeye anavyowapenda. Anachofanya ni kuwapa kile alichopewa na Mungu. Sauti. Watu wanadata naye.
Wakati watu wengi sana wakimsifia kwa sauti ambayo anayo yeye tu ktk dunia hii. Kuna kitu wanakisahau. Ana tofauti sana katika tungo zake.
Sikiliza Mapenzi yana Run Dunia. Anamuimbia mapenzi mwanaume mwenzake. Ngumu sana mwenye akili ya kisoda kuelewa ule wimbo. Mchizi anamuimbia mchizi wake ngoma la mapenzi afu lina bamba mbaya. Hata R. Kelly na wenzake akili hii waliikosa.
Dem kaenda kwa Ali kumshitakia ujinga wa bwanaake. Of coz watoto wa kike wanapenda faraja. Ali akampa faraja.
Mchizi kugundua kaamua kumtosa mtoto. Mtoto kaamua kutangulia mbele ya haki. Alimpenda mchizi wake ila Ali alimpa faraja tu baada ya ushauri. Hata mimi ningemfariji kwa namna hiyo mtoto mzuri.
Kasikilize hilo ngoma ukiwa na akili timamu usichanganye na mawazo ya hali ya Wema Sepetu kwa sasa. Hutaelewa alichoandika Ali.
Kiba siyo wa nchi hii
Kinachofanywa na computer yeye anakitoa kwenye koromeo lake.
Kuna sauti kutoka kooni kwake ni ya pekee kuliko upekee wenyewe.Hawezi kusema ila Diamond na wenzake hicho kitu kinawaumiza sana.
Ali hajui kujitangaza. Ndo maana hata gari anayotumia haijulikani.
Ali hajui kiki. Ndo maana huwezi kumsikia akiongelea issue zake na madem zake. Hajui kujiongeza ndo maana husikii ana nyumba au shilingi ngapi kwenye account zake za bank.
Na ni ngumu kumkuta news room za udaku. Vyote hivyo hana lakini bado anawaumiza kichwa kundi kubwa la watu.
Katikati ya magwiji wa hizi kazi.
Fella,Tale na wenzao.Sallam muweke kando hajui fitna za game hili.
Pamoja na lundo la hao watu Alibbado anasimama nao katika mstari mmoja.
Ogopa sana.
Heshimu.
Hana anachowaweza zaidi ya lile koo lake na akili ya kuandika kinachotakiwa kuandikwa.
Hapa siyo suala la team flan.Ukweli uko wazi kuwa kuna upinzani wa wazi na wa siri kati ya Kiba peke yake na Diamond na watu wake. Huwezi kusikia management ya Ali ikimuongelea Diamond.Ila ni rahisi zaidi kusikia management ya Diamond ikiongea jambo la Kiba.
Ndo ukweli.
Watu wanaomzunguka Diamond huwezi kushindana nao hata kwa nusu saa.Game la muziki liko vyumbani mwao.Linawatii kuliko askari wa Dar mbele ya Makonda.Lakini Ali kaendelea kuwepo kwenye kilele bila kutumia nguvu.Alichonacho Ali kwenye koo angekuwa nacho Diamond dunia ingesimama.
Ni kama Ronaldo angekuwa na kile alichonacho Messi katika miguu yake.
Mashabiki wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na Diamond mitandaoni,wakati Kiba anawauliza wadogo zake vilipo viatu vyake vya michezo akacheze football bondeni pale Jangwani.
Diamond anajituma sana na muziki wake.Ali anatufanya tuamini kuwa muziki ni burudani na ufanywe kiburudani.
Wakati soko la muziki likilazimishwa liwe na muziki unaochezeka.Ali alikuja na ngoma kama Mac Muga ambao hauchezeki na siyo wa mapenzi na alikuja na ngoma ya Mwana ambayo sio wa mapenzi wala sio club bagger.ukakamata vibaya sana.
Kasikilize Karim.
Utagundua kuwa Kiba ni zaidi ya biti na promo.
Imeandikwa na mkongwe Dr.Levy Baba ubaya
Tutajie hizo tuzo.Ukisema Ali amegota na Marlaw utasemaje?!
Huyo mtu unaesema amegota last year kabeba tuzo 16+ za kimataifa sasa sijui umetumia vigezo gani kusema amegota.
kuna mtu aliwahi kusema " muziki ungekuwa sauti ningemsaini wema sepetu" nligundua kwamba akikubali kwamba hamuwez kiba kwa sauti so akaamua kuleta propaganda ionekane kwenye kuimba sauti siyo kitu cha msingi lakini kauli ile ukiichambua kwa undani utagundua kwamba sauti ya kiba inamuumiza na kashajua hawez kuipata akaamua aponde na hapa ndo ule msemo wa " SIZITAKI MBICHI HIZI" unaposhika hatamu.Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media. Ni kama kumpenda mwanamke ambaye hajui kama unampenda.Na mbaya zaidi hata hisia juu yako hana. Utaumia sana.
NdIo Ali. Hata mashabiki wake wanampenda kuliko yeye anavyowapenda. Anachofanya ni kuwapa kile alichopewa na Mungu. Sauti. Watu wanadata naye.
Wakati watu wengi sana wakimsifia kwa sauti ambayo anayo yeye tu ktk dunia hii. Kuna kitu wanakisahau. Ana tofauti sana katika tungo zake.
Sikiliza Mapenzi yana Run Dunia. Anamuimbia mapenzi mwanaume mwenzake. Ngumu sana mwenye akili ya kisoda kuelewa ule wimbo. Mchizi anamuimbia mchizi wake ngoma la mapenzi afu lina bamba mbaya. Hata R. Kelly na wenzake akili hii waliikosa.
Dem kaenda kwa Ali kumshitakia ujinga wa bwanaake. Of coz watoto wa kike wanapenda faraja. Ali akampa faraja.
Mchizi kugundua kaamua kumtosa mtoto. Mtoto kaamua kutangulia mbele ya haki. Alimpenda mchizi wake ila Ali alimpa faraja tu baada ya ushauri. Hata mimi ningemfariji kwa namna hiyo mtoto mzuri.
Kasikilize hilo ngoma ukiwa na akili timamu usichanganye na mawazo ya hali ya Wema Sepetu kwa sasa. Hutaelewa alichoandika Ali.
Kiba siyo wa nchi hii
Kinachofanywa na computer yeye anakitoa kwenye koromeo lake.
Kuna sauti kutoka kooni kwake ni ya pekee kuliko upekee wenyewe.Hawezi kusema ila Diamond na wenzake hicho kitu kinawaumiza sana.
Ali hajui kujitangaza. Ndo maana hata gari anayotumia haijulikani.
Ali hajui kiki. Ndo maana huwezi kumsikia akiongelea issue zake na madem zake. Hajui kujiongeza ndo maana husikii ana nyumba au shilingi ngapi kwenye account zake za bank.
Na ni ngumu kumkuta news room za udaku. Vyote hivyo hana lakini bado anawaumiza kichwa kundi kubwa la watu.
Katikati ya magwiji wa hizi kazi.
Fella,Tale na wenzao.Sallam muweke kando hajui fitna za game hili.
Pamoja na lundo la hao watu Alibbado anasimama nao katika mstari mmoja.
Ogopa sana.
Heshimu.
Hana anachowaweza zaidi ya lile koo lake na akili ya kuandika kinachotakiwa kuandikwa.
Hapa siyo suala la team flan.Ukweli uko wazi kuwa kuna upinzani wa wazi na wa siri kati ya Kiba peke yake na Diamond na watu wake. Huwezi kusikia management ya Ali ikimuongelea Diamond.Ila ni rahisi zaidi kusikia management ya Diamond ikiongea jambo la Kiba.
Ndo ukweli.
Watu wanaomzunguka Diamond huwezi kushindana nao hata kwa nusu saa.Game la muziki liko vyumbani mwao.Linawatii kuliko askari wa Dar mbele ya Makonda.Lakini Ali kaendelea kuwepo kwenye kilele bila kutumia nguvu.Alichonacho Ali kwenye koo angekuwa nacho Diamond dunia ingesimama.
Ni kama Ronaldo angekuwa na kile alichonacho Messi katika miguu yake.
Mashabiki wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na Diamond mitandaoni,wakati Kiba anawauliza wadogo zake vilipo viatu vyake vya michezo akacheze football bondeni pale Jangwani.
Diamond anajituma sana na muziki wake.Ali anatufanya tuamini kuwa muziki ni burudani na ufanywe kiburudani.
Wakati soko la muziki likilazimishwa liwe na muziki unaochezeka.Ali alikuja na ngoma kama Mac Muga ambao hauchezeki na siyo wa mapenzi na alikuja na ngoma ya Mwana ambayo sio wa mapenzi wala sio club bagger.ukakamata vibaya sana.
Kasikilize Karim.
Utagundua kuwa Kiba ni zaidi ya biti na promo.
Imeandikwa na mkongwe Dr.Levy Baba ubaya
tena tuzo 16+ nadhani kwa nyimbo moja tu au sanasana mbili, siyo huu muziki bigijii mtu anatoa nyimbo tatu kwa kufuatana na hata mwez hazipishani na bado hamna kitu.Ukisema Ali amegota na Marlaw utasemaje?!
Huyo mtu unaesema amegota last year kabeba tuzo 16+ za kimataifa sasa sijui umetumia vigezo gani kusema amegota.
mm team kiba bro, najua tuna show Germany na sijui huyo simba mwenye sauti ya kike hata anafanya nn saa hizi so pllllllz acha kutusingizia hatumfatilii "mlezi wa wana" sisi tupo na KINGUzuri ni kwamba team kiba wanafuatilia mambo yote ya wcb tena sana lkn team mond hawanaga time na kiba ndio maana kazi kutukana wcb kila siku but ss hatujui hata show yake inayofuata anafanya lini ila waulize team kiba wanazo ratiba zote za mond, hahaha huu mchezo hautaki hasira, I love this game habari mnayo na hamtowezaaaaa