Dr. Luis Shika: Hakuna popote niliposema milioni 800 au milioni 900 nilisema mia Tisa(900)

Huyoo tayari ni next level
 
Kama uliweza kusikiliza mwnzo wa mnada yule mama alikaribisha offa jamaa akasema cjui mil300 cjui alisema 300 sina kumbukumbu so bei ya kwnz siyo kwmb walisema yono
 
Huyu jamaa ni mhaya nini? Naomba kujua ila ni kichwa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..... Huyo mzee mnamuona boya, wakati amekuja kuharibu mnada kimkakati. Na alikuwa amejiwekea defensive mechanism jinsi ya kuwatoka... "eti nilisema 700,800 na 900 sikutaja milion"... Dunia hii, Dr kanichekesha sana leo.
 
Huyo comedian ni noma.... Watu tuko serious yee Ana tu ektia... Kweliii [emoji3][emoji3][emoji3]
Anawafundisha kuwa wakati mwingine nyie ndio muwe serios mjue kutofautisha 900 na milioni 900.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…