Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Hivi hi issue ni kweli Shem??Tanzania kuna vituko sana
Au utani wa vijiweni tu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hi issue ni kweli Shem??Tanzania kuna vituko sana
Huyoo tayari ni next levelView attachment 628117
Mnunuzi wa nyumba za Lugumi zilizopigwa mnada na Kampuni ya Yono Auction Mart kufidia deni la TRA, Dr.Luis Shika amekanusha vikali madai ya polisi kwamba alikusudia kufanya utapeli kwenye mnada wa uuzwaji wa nyumba hizo.
Dr.Shika ameshangaa polisi kumlisha maneno kwamba alitamka milioni 700, 800 na 900, wakati ukweli alitamka 900 lakini sio milioni. "Ni kweli nilipanga kununua nyumba zote tatu, na kwenye mnada nilitamka fedha 700, 800 na mwisho 900. Hakuna popote niliposema milioni 800 au milioni 900" Amesema Dr.Luis Shika aliyejipatia umaarufu siku za karibuni kutokana na sakati hilo.
Hii sijui asee ha ha ha labda kukiwa na ushahidi wa video akiongea hayo.Hivi hi issue ni kweli Shem??
Au utani wa vijiweni tu??
Kama uliweza kusikiliza mwnzo wa mnada yule mama alikaribisha offa jamaa akasema cjui mil300 cjui alisema 300 sina kumbukumbu so bei ya kwnz siyo kwmb walisema yonoAsifanye watu wajinga, ina maana yeye ndie alikuwa wa kwanza kutaja hizo bei. Mnadani bei huanza kutangazwa k uanzia chini na inapanda, sasa kama imefikia milioni 600 na yeye akatamka 700, sio kwamba wanarudi chini kuanza tena kwa tshs 700 ni mwendelezo wa ile milioni 600, hivyo ni milioni 700. Kisheria anaweza kuwa na mashiko, ila si katika mazoea ya kuendesha minada.
Aliwapa zote akawadai chenjiHahaaaa sasa hata hiyo 25% ya 900 alikosa? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatari sana. Kuna wakati inafika MSOMI na ASIESOMA wote sawa!Tanzania kuna vituko sana
Hahahahaaaa...Na watamuacha tu, unadhani watamfanyaje mtu tajiri kama huyo?
Tanzania kuna vituko sana
Anawafundisha kuwa wakati mwingine nyie ndio muwe serios mjue kutofautisha 900 na milioni 900.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyo comedian ni noma.... Watu tuko serious yee Ana tu ektia... Kweliii [emoji3][emoji3][emoji3]