Dr Lwaitama: Halafu Kuna Watu wananunua Makaratasi ya Yericko eti ni Vitabu. Kama anadanganya mambo mnayoyajua itakuwaje hayo ya Ukraine msiyoyajua!

Yeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema

Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu

Ila Wahaya Wana dharau sana duh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mlale unono
Alikuwa wapi siku zote!? Leo hii ndiyo kayafahamu hayo makaratasi 😯😯😯.
 
Dah! Kwa miaka mingi Chadema wamekuwa wakikwepa uchaguzi mkuu mgumu, ila safari hii wameingia kwenye mfumo.

Ila chama kikuu cha upinzani lazima kipitie kwenye misuklsuko ya uchaguzi kama hii ili kujipima uwezo wake wa kukabiliana nayo.

Leo hadi vitabu vya Yericko vinaitwa makaratasi?! Basi tutasikia mengi kwenye uchaguzi huu.

Ova
 
Lakini mpenzi, kwani Yericko kuna cha maana huwa anaandika? Mie huwa naona hata ni kukosa ya kufanya kumuongelea, ni mtu asiyefaa hata kuupata muda wako.
 
Lakini mpenzi, kwani Yericko kuna cha maana huwa anaandika? Mie huwa naona hata ni kukosa ya kufanya kumuongelea, ni mtu asiyefaa hata kuupata muda wako.
Lakini Chadema wenzake hawajawahi kuita vitabu vyake ni makaratasi ambayo mnunuzi anawashangaza wazee wa Chadema, kwa kuchezea hela zake.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…