Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Watoto wa 2000 hamuwezi kumfahamu huyu mzee,ungefanikiwa kumkuta darasani enzi zile pale UDSM ndio ungejua ni Dr au la!eti kuna watu wanaamini Lwaitama ni Dr.🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa 2000 hamuwezi kumfahamu huyu mzee,ungefanikiwa kumkuta darasani enzi zile pale UDSM ndio ungejua ni Dr au la!eti kuna watu wanaamini Lwaitama ni Dr.🐒
Yani wewe na elimu yako MEMKWA ni wakumvunjia heshima Dr Lwaitama?eti kuna watu wanaamini Lwaitama ni Dr.🐒
Ccm inawafuas mapumbavu kama hili🪛🪛🪛🪛🪛.eti kuna watu wanaamini Lwaitama ni Dr.🐒
DaaahYaani hii Yericko Nyerere ni mafi kabsaa
Kwa hiyo ni mume wako ?eti kuna watu wanaamini Lwaitama ni Dr.🐒
Alikuwa wapi siku zote!? Leo hii ndiyo kayafahamu hayo makaratasi 😯😯😯.Yeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema
Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu
Ila Wahaya Wana dharau sana duh 😂😂😂😂
Mlale unono
Mafi ya mbusiYaani hii Yericko Nyerere ni mafi kabsaa
mtake radhi msomi lucasYeriko nyerere ID nyingine anayotumia ni lukas Mwashambwa
Yericko NyerereYeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema
Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu
Ila Wahaya Wana dharau sana duh 😂😂😂😂
Mlale unono
Yericko NyerereYeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema
Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu
Ila Wahaya Wana dharau sana duh 😂😂😂😂
Mlale unono
Lakini mpenzi, kwani Yericko kuna cha maana huwa anaandika? Mie huwa naona hata ni kukosa ya kufanya kumuongelea, ni mtu asiyefaa hata kuupata muda wako.Dah! Kwa miaka mingi Chadema wamekuwa wakikwepa uchaguzi mkuu mgumu, ila safari hii wameingia kwenye mfumo.
Ila chama kikuu cha upinzani lazima kipitie kwenye misuklsuko ya uchaguzi kama hii ili kujipima uwezo wake wa kukabiliana nayo.
Leo hadi vitabu vya Yericko vinaitwa makaratasi?! Basi tutasikia mengi kwenye uchaguzi huu.
Ova
Angalia hili zuzu...eti kuna watu wanaamini Lwaitama ni Dr.🐒
Lakini Chadema wenzake hawajawahi kuita vitabu vyake ni makaratasi ambayo mnunuzi anawashangaza wazee wa Chadema, kwa kuchezea hela zake.Lakini mpenzi, kwani Yericko kuna cha maana huwa anaandika? Mie huwa naona hata ni kukosa ya kufanya kumuongelea, ni mtu asiyefaa hata kuupata muda wako.