Dr Lwaitama: Halafu Kuna Watu wananunua Makaratasi ya Yericko eti ni Vitabu. Kama anadanganya mambo mnayoyajua itakuwaje hayo ya Ukraine msiyoyajua!

Hizo takataka za Yericko Nyerere hazina tofauti na hizi takataka za Lucas Mwashambwa anazojaza humu.
Huyu jamaa amejiharibia Sana .
Anaandika Vitabu vya mambo ya Ujasusi kama Elvis Musiba enzi za Willy Gamba πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Vitabu vya Yericko vimeshinda tuzo za Afrika huko Afrika kusini, Leo hii, mtu yuko Daresalama ameshiba pilau la sikukuu anaita hivyo vitabu ni takataka.

Unakuta mtu huyo hajawahi hata kuandika makala ya kitu chochote, hiki kitu tukiiteje?

Wivu, chuki, ujuha, utani, uwendawazimu, ujuaji ama ni kitu gani?
 
Leo hii Lwaitama amegeuka kuwa lulu kwa hawa makamanda uchwara😁
wana weweseka kwa kiwango cha juu mno nadhani ni kwasabb hawana mtu mwingine ndani ya chadema wanaeweza kumsingizia uDoctor zaidi ya huyo mzee Lwaitama aliepoteza uelekeo,

eti ni Dr , kweli madr ndivyo walivyo kama alivyo mzee Lwaitama?πŸ’
 
Anakuambia ukisoma makaratasi yake ya ujasusi wa kidola basi mnachukua nchi

Sasa sijui Mbowe hajakisoma achukue dola

hii nchi ina makanjanja aiseee
 
eti kuna watu wanaamini Lwaitama ni Dr.πŸ’
Kama State University ilijengwa kwa Kodi ya watanzania ilitokusanywa na kusimamiwa na serikali ya Ccm ambayo iliwateua watu kuwa wakuu wa chuo hicho tangu miaka Yote kilipopata university charter wanamtambua na walimpa hiyo doctorate, wewe mahamuma unashangaa Nini sasa yeye kuwa PhD holder? Au unataka tuamini kwamba Dr Bashiru Ally ndie Dr pekee
 
Anaandika Vitabu vya mambo ya Ujasusi kama Elvis Musiba enzi za Willy Gamba πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Huyo Yeriko Nyerere taaluma ya ujasusi kaisomea wapi?! Hebu akupatie cheti chake bwashe manake wewe ni mshabiki wake sana tu.
 
inawezekana walimpa kama peremende tu,

hut hana uwezo, sifa wala hadhi ya kua dr mtu wa aina ile gentleman..

binafsi na wadau wengine JF hawawezi kuamini upotoshaji kama huo eti mzee Lwaitama ni Dr πŸ’
 
Yeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema

Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu

Ila Wahaya Wana dharau sana duh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mlale unono
Ohoooo
Wanazuoni wanaanza kutumia fursa kupiga kwenye mshono
 
Hivi kweli unawezamlinganisha Dr. Lwaitama na huyo chawa Yericko Nyerere? Seriously?
 
Wee Mzee Lwaitama , wazee wenzio huko bukoba saa hizi wanakula matoke we umeshupaza shingo kama yule baniani sijui anaitwa Shivji ! Wakati wenzie wako Bombay yee sijui anafanya nini Bongo ! Miaka yooote tangu azaliwe na ameishi TZ eti hajui Kiswahili !
 
Yeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema

Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu

Ila Wahaya Wana dharau sana duh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mlale unono
Yule dogo ni mjinga alafu hajui kama ni mjinga
 
Hivi kweli unawezamlinganisha Dr. Lwaitama na huyo chawa Yericko Nyerere? Seriously?
Ndiyo ninaweza kumlinganisha.

Unajua huyo Lwaitama anayejiita mwanaCCM mfu ana Phd ya nini?

Je, tunawalinganisha kwa kusema tu kwamba huyu ni Dr. au tunaangalia Publications na vitabu?

Thesis ya Dr. Lwaitama ilikuwa inazungumzia nini?

Lwaitama katunga vitabu vingapi? Vinaitwaje?

Tunaona vitabu vya Yericko vimeshinda tuzo za Afrika, Vitabu vya Lwaitama vimeshinda tuzo gani?

Kama nilivyojibu hapo mwanzo, NDIYO, ninaweza kuwalinganisha, na nitawalinganisha kwa utaratibu tajwa hapo juu.
 
eti kuna watu wanaamini Lwaitama ni Dr.πŸ’
Safari hii mna kazi kwelikweli
Mpambanie kijani
Mpambanie awe mwenyekiti
Mpambanie na vichwa Kama Dr. Xavery..
Mjipambanie wenyeweπŸ˜€
Hii Inachanganya sana hadi unamuona Yericko ni zaidi ya Kijani
 
Hiyo Mzee Lwaitama amekuwa kituko kama PHD hata mama samia anazo nyingiii tuu !
Ye arudi Bukoba akale matoke han jipya huyo
 
Huyu dokta yuko kwenye jumba la vioo, muache aendelee kutafuta ugomvi wa mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…