Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Yericko hana elimu yoyote, hana credentials zozote, hana CV, ni Chawa wa Mbowe aliyekomaa, hadi kawa house boy kabisa..!! Ni kati ya vijana wapuuzi wa Chadema, sasa katikati ya wopuuzi kuna mpuuzi anakuwa kama anajiona anajua sana na mjanja mjanja kuliko wapuuzi wenzake, sasa huyo ndio Yericko.
Hizo takataka za Yericko Nyerere hazina tofauti na hizi takataka za Lucas Mwashambwa anazojaza humu.
Huyu jamaa amejiharibia Sana .
Vitabu vya Yericko vimeshinda tuzo za Afrika huko Afrika kusini, Leo hii, mtu yuko Daresalama ameshiba pilau la sikukuu anaita hivyo vitabu ni takataka.Anaandika Vitabu vya mambo ya Ujasusi kama Elvis Musiba enzi za Willy Gamba 😃😃
Unakuta mtu huyo hajawahi hata kuandika makala ya kitu chochote, hiki kitu tukiiteje?
Wivu, chuki, ujuha, utani, uwendawazimu, ujuaji ama ni kitu gani?