Dr Lwaitama: Halafu Kuna Watu wananunua Makaratasi ya Yericko eti ni Vitabu. Kama anadanganya mambo mnayoyajua itakuwaje hayo ya Ukraine msiyoyajua!

Dr Lwaitama: Halafu Kuna Watu wananunua Makaratasi ya Yericko eti ni Vitabu. Kama anadanganya mambo mnayoyajua itakuwaje hayo ya Ukraine msiyoyajua!

Jamaa ni mshamba sana ...mara nyingi akingongwa hoja Kali hawez kujib zaid ya kuanza lugha chafu ....huyu nitapeli kama tapeli wengine
 
Aliwahi kuielezea picha ya Nyerere akiwa na kinamama wa Dar miaka ya 1950 kabla ya uhuru kwa kuandika makosa kuhusu wanaoonekana pichani, tangu siku ile nimegundua ni mtu wa kutiliwa mashaka.
 
inawezekana walimpa kama peremende tu,

hut hana uwezo, sifa wala hadhi ya kua dr mtu wa aina ile gentleman..

binafsi na wadau wengine JF hawawezi kuamini upotoshaji kama huo eti mzee Lwaitama ni Dr 🐒
Inawezekana ndio lugha gani
 
Vitabu toka January mpaka Disemba hua ni Offa tuu hua nawashangaa wanaovinunua sijuii vinawasaidia nini mfano ujasusi wa kidola ni upumbavu tuu
 
Kila la heri japo imani yaweza kuwa chanzo cha kuharibikiwa kwako kama wale wanaoibiwa kila uchao wakiombewa au kuaahidiwa miujiza uchwara. Ni ushauri tu mwanangu.
 
Ninachojua, Akina Lwaitama na Nyerere ni watani wa Jadi. Kwa hiyo, ugomvi unapotaka kuanzisha baina ya akina Nyerere na Lwaitama hautakuwepo!
Lwaitama hawezi kutaniana na tapeli. Msitake kutuingiza mkenge. Yeriko ni kihiyo na kilaza wa kawaida anayetapeli watu kwa kucopy na kupaste toka kwa waandishi magwiji. Ni shigongo mwingine anayetafuta umaarufu aingie siasa.
 
Ndio Ushangae hata Huko CDM Akili ndogo inaongoza Akili kubwa
 
Back
Top Bottom