Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Yeriko afusile!Ni masusu be!Anaandika Vitabu vya mambo ya Ujasusi kama Elvis Musiba enzi za Willy Gamba 😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeriko afusile!Ni masusu be!Anaandika Vitabu vya mambo ya Ujasusi kama Elvis Musiba enzi za Willy Gamba 😃😃
Ni mtoto wa nyerereq
Ni mtoto wa nyerere?
Huyo yericho ni nani?secretarybird nanunua vitabu vya Yericko Nyerere na kutumia karatasi zake kuwashia jiko langu la mkaa.
Si unajua tena msimu huu wa mvua kuwashia jiko la mkaa ni mtiti?
Najua mtu kama makaveli10, ngara23 pamoja na Mbaga Jr hawataamini lakini ndo hivyo.
YeahHuyo yericho ni nani?
Mkuu na wewe umenunua vitabu vyake?Anaandika Vitabu vya mambo ya Ujasusi kama Elvis Musiba enzi za Willy Gamba 😃😃
Kumbe unaongelea hii takataka!
Inawezekana ndio lugha ganiinawezekana walimpa kama peremende tu,
hut hana uwezo, sifa wala hadhi ya kua dr mtu wa aina ile gentleman..
binafsi na wadau wengine JF hawawezi kuamini upotoshaji kama huo eti mzee Lwaitama ni Dr 🐒
kumbe hiyo ni lugha?Inawezekana ndio lugha gani
BangiYeah
Ninachojua, Akina Lwaitama na Nyerere ni watani wa Jadi. Kwa hiyo, ugomvi unaotaka kuanzisha baina ya akina Nyerere na Lwaitama hautakuwepo!Wahaya
Lwaitama hawezi kutaniana na tapeli. Msitake kutuingiza mkenge. Yeriko ni kihiyo na kilaza wa kawaida anayetapeli watu kwa kucopy na kupaste toka kwa waandishi magwiji. Ni shigongo mwingine anayetafuta umaarufu aingie siasa.Ninachojua, Akina Lwaitama na Nyerere ni watani wa Jadi. Kwa hiyo, ugomvi unapotaka kuanzisha baina ya akina Nyerere na Lwaitama hautakuwepo!
Yeriko ni muhehe wa Nyololo 😂Ninachojua, Akina Lwaitama na Nyerere ni watani wa Jadi. Kwa hiyo, ugomvi unaotaka kuanzisha baina ya akina Nyerere na Lwaitama hautakuwepo!