Dr. Magufuli, Mungu anakuona

Watanzania wamuombee ili azidi kuwabana katika mifuko ya jamiii kwa lengo la kuanzisha viwanda.
 
Rais wetu, wewe ni chaguo la Mwenye Enzi Mungu. ....atakaye kubariki naye atabarikiwa na atakaye kulaani wewe utaendelea kubarikiwa na yeye atalaaniwa. ......NA MIMI ASUBUHI YA LEO NAANZA KUKUBARIKI NA BARAKA ZOTE PAMOJA NA FAMILIA YAKO milele yote. ...Amen RA
 
Wala sio hivyo mkuu, sipo kazini Na wala huko kwa jamaa sifahamiki kabisa.!
Kama unafanya kazi ushaona impact ya maamuzi ya Mkuu wetu bado akisikia life ni tight kitaa anasema asiyefanya kazi asile mazao yanaozea shambani wanunuzi hawana uwezo ukitaka kuuza nje unazuiliwa huyo mkulima mnyonge amlilie nani Mungu anamuona aliyeamua kuweka zuio hilo......
 
*MUNGU ANAWAONA*

Kuna Meseji, zinaandikwa siku hizi na naona zinazidi kupata umaarufu sana.

Mwishoni wanaandikaa
*'''MUNGU ANAWAONA '''.*

Hizi meseji zimelifanya kama Jina la MUNGU kuwa kitu ambacho unaweza ukakitumia kwenye *Upuuzi na mzaha wowote*

Msingi wa MUNGU ulio Imara....Unasema

_*"Usilitaje Bure Jina la BWANA, Mungu wako,maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu yule alitajaye jina lake Bure."*_
_Kutoka 20;7_

Jina la Mungu ni takatifu sana sijui kwa nini tumeamua kulifanya kuwa la kawaida kiasi hiki kiasi kwamba tunalitaja hovyo hovyo.

Unaweza Usiwe mwandikaji, lakini Kuishare kwako.
Kutakuingiza Kwenye shida ya Kukubaliana na Kushirikiana na mwandishi katika dhambi hiyo.

Ni nani ajuaye hali ya Kiroho ya wanaoandika meseji hizo? pengine hata hawamjui Mungu, lakini wewe unaesoma ujumbe huu tafakari kwa kina juu ya ujumbe huu.

*MUNGU AKUBARIKI SANA*
 
Ndio Mungu anamuona pia kwa utendaji wake mzuri
-Utendaji mzuri, mazao ya wakulima yanaozea shambani wafanyabiashara wamesusa kuyanunua Kwa Sababu ya kupandishiwa kodi holela .
-Utendaji mzuri, vijana hawana ajira, zote zimesimamishwa.
-Utendaji mzuri, katiba aliyoapa kuilinda anaigeuka Kwa kuzuia siasa wakati siasa inakubalika kikatiba.
-Utendaji mzuri, IPTL Kwa Siku inalipwa sh mil 400 na Tanesco hata Kama haijatoa umeme.
Ushabiki wa kijinga unawapeleka pabaya Sana, mnapendana ccm badala ya kuipenda Tanzania, vyama vyote vitapita lakini Tanzania haitapita, itadumu miaka maelfu Kwa maelfu.
-
 
Endelea kusubiri kuajiriwa kisha tafuta mchawi wako!! Akili za masaburini hizi. Wewe umesoma unalalamika, ulienda shuleni kufanya nini sasa kama sio kupoteza resources tu, ambaye hajasoma nae asemaje??
 
Mxieeewwwwww
 
Itakuwa Mungu anamuona kwa jicho la kimungu..si la style yako
Hahahaha,jamaa badala ya kufanya kazi anajifanya mnyooonge
Kabla mungu hajamuona Magu kwa jicho analotakla yeye,kwanza mungu anamuona mleta post anavyotaka kuendelea na maisha ya ujanja ujanja.
 
Kila mtu kwake ni mwizi na mvivu..time will tell
 
naona unamshitakia kwa Mungu,yeye alikuwa anataka tumuombee siyo umshitake kwa Baba Muumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…