Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndioKujipendekeza now inalipa soon utateuliwa kama yule mtangazaji wa Kwenye Runinga
Wala sio hivyo mkuu, sipo kazini Na wala huko kwa jamaa sifahamiki kabisa.!Upo kazini naona na wewe Mungu anakuona kutoka kutokea Maisha magumu nchini
Kama unafanya kazi ushaona impact ya maamuzi ya Mkuu wetu bado akisikia life ni tight kitaa anasema asiyefanya kazi asile mazao yanaozea shambani wanunuzi hawana uwezo ukitaka kuuza nje unazuiliwa huyo mkulima mnyonge amlilie nani Mungu anamuona aliyeamua kuweka zuio hilo......Wala sio hivyo mkuu, sipo kazini Na wala huko kwa jamaa sifahamiki kabisa.!
-Utendaji mzuri, mazao ya wakulima yanaozea shambani wafanyabiashara wamesusa kuyanunua Kwa Sababu ya kupandishiwa kodi holela .Ndio Mungu anamuona pia kwa utendaji wake mzuri
Endelea kusubiri kuajiriwa kisha tafuta mchawi wako!! Akili za masaburini hizi. Wewe umesoma unalalamika, ulienda shuleni kufanya nini sasa kama sio kupoteza resources tu, ambaye hajasoma nae asemaje??Vijana tumesoma ajira umeamua kuzuia Mungu anakuona
Dr Magufuli wafanyakazi tunafanya kazi Mishahara umezuaia isipande Mungu anakuona
Wakulima mpaka sasa hivi umeondoa mbolea ya ruzuku Mungu anakuona
Dr Magufuli maisha ni magumu kwa sababu umezuaia pesa ya Serikali isipitishiwe Kwenye Commercial Bank Mungu anakuona.........
Hatumuombei.saivi.bali tunamloga"watanzania naombeni mniombee..." in Dr.'s voice
MxieeewwwwwwRais wetu, wewe ni chaguo la Mwenye Enzi Mungu. ....atakaye kubariki naye atabarikiwa na atakaye kulaani wewe utaendelea kubarikiwa na yeye atalaaniwa. ......NA MIMI ASUBUHI YA LEO NAANZA KUKUBARIKI NA BARAKA ZOTE PAMOJA NA FAMILIA YAKO milele yote. ...Amen RA
Hahahaha,jamaa badala ya kufanya kazi anajifanya mnyooongeItakuwa Mungu anamuona kwa jicho la kimungu..si la style yako
naona unamshitakia kwa Mungu,yeye alikuwa anataka tumuombee siyo umshitake kwa Baba Muumba.Vijana tumesoma ajira umeamua kuzuia Mungu anakuona
Dr Magufuli wafanyakazi tunafanya kazi Mishahara umezuaia isipande Mungu anakuona
Wakulima mpaka sasa hivi umeondoa mbolea ya ruzuku Mungu anakuona
Dr Magufuli maisha ni magumu kwa sababu umezuaia pesa ya Serikali isipitishiwe Kwenye Commercial Bank Mungu anakuona.........