Elections 2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

Elections 2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

Hata Mimi nimefatilia hotuba zake za October,hana energy,alikuwa anaongea kwa kasi na vishindo,sasa kashindwa,anaongea polepole,lowasa ni kama vile ndama aliyezaliwa Jana,alianza taratibu,ila sasa anarukaruka kama mwanandama aliyezaliwa na mama mwenye afya
 
Mada tofauti,majamaa yanaunga tu,hawa mamods nina wasiwasi nao
 
Hapana Magufuli; M-CCM hawezi kuumwa bhana wacha utani!! tunaoumwa ni sisi huku UKAWA?!

ha haaa,usimdhihak mtu bn wkt huijui kesho ss hv push ups kwishney!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Kuumwa ni kawaida kwa mwanadamu na mwili wa mtu siyo chuma kwamba akae mda wote stable ukizingatia kasafiri mara mbili ya Lowassa tena kwa kutumia gari. Wewe na vumbi, jua na baridi vyote vyako na bado unaongea mikutano 6 si chini ya saa kwa kila mkutano ..anahitajika mtu asiye wa kawaida wa kutotikisika katika hari za namna hii, barabara si mchezo na kama mtu anabisha wewe jaribu kusafiri kutoka hapa mpaka Bkb kwa gari alafu urudi utwambie hiyo safari moja tu umeionaje? hii ngoma si ya kitoto ati
 
Hakuna namna nyingine naweza kusema kuhusu Nape na alichokifanya jana viwanja vya Sokoni huku akishirikiana na Dr. Tinga Tinga Rais wa awamu ya 5 anayesubiri kuapishwa.

Kwa uchache wetu watu wa Mtama na umati uliojitokeza Siku ya jana ni zaidi ya mara 3 ya mkutano wa Lowassa uliofaonyika wiki mbili zilizopita huku kukiwa na wanachama na wapenzi wa CHADEMA, CUF, NSSR na NLD.

Ndg Nape aliwachachafya kweli kweli wapinzani.

PIGO UKAWA
-Mratibu wa kampeni za jimboni mtama wa mgombea wa CHADEMA ndg Michael jana alirudisha kadi ya CHADEMA na kuingia CCM.

Alisema "kuna mambo ambayo sio mazuri yanayoendelea hivyo kuahid kuwaambia wananchi nini kimemkimbiza" ikumbukwe kuwa huyu ndg Michael kabla Selemani Methew hajahama CCM kuna baadhi ya wanakijiji walikuwa wakimlalamikia wapewe pesa zao alizochukua Selemani Methew kupitia vikundi vya wazee na akina mama.

-Pia dereva wa mgombea Ubunge jimbo la Mtama kupitia CHADEMA naye amerudisha kadi na kuacha kazi kwa kile kinachoitwa bosi wake ambaye ni mgombea kuna mambo anayafanya sio sahihi alisema "kuna siku mgombea Ubunge alitaka kujiteka mwenyewe ili aseme kuwa Nape ndio anataka kumteka na hilo tukio lilitokea wiki nne zilizopita.
 
Kama alisambaratisha ngome ya UKAWA mbona mapovu yalimtoka Mzee wa Push up kwenye mkutano wa Mpilipili?..Ninachojua mwaka huu hata Wana CCM nikiwemo mimi mwenyewe tutampigia kura Lowassa na wagombea wa UKAWA!!
 
Back
Top Bottom