Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wote wa udini, ukabila, ukanda, hutusi, na muendelezo wa ufisadi, wapenda Madaraka, wote mnatakiwa ukawa
Hapa kazi tu ushindi niwetu
Msisahau Ukawa Kumbadilisha Pampers Mgombea Wenu.
Baada ya Mapumziko ya siku mbili, mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr. Magufuli ameanza rasmi ziara kwenye mkoa wa Lindi na asubuhi hii amefanya mkutano kwenye jimbo la Nachingwea.
Leo mchana mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi , Dr. Magufuli amefanya mikutano mikubwa miwili mpaka sasa baada ya ule wa asubuhi jimbo la Nachingwea.
Mikutano yote imekuwa na idadi ya nyomi ya kutosha hivyo ikawa rahisi kuinadi ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi.
Kuondoa mtaala unaofanana nchi nzima. Mfano Kusini kuna gesi; mtaala VETA Kusini ukidhi utaalam wa gesi.
Mimi si fisadi, wala si tapeli, na Watanzania wote mnanifahamu. Ushindi wangu Oktoba 25 ni dhahiri. Wengine wanasindikiza.
Mtama

bBaada ya Mapumziko ya siku mbili, mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr. Magufuli ameanza rasmi ziara kwenye mkoa wa Lindi na asubuhi hii amefanya mkutano kwenye jimbo la Nachingwea.
Leo mchana mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi , Dr. Magufuli amefanya mikutano mikubwa miwili mpaka sasa baada ya ule wa asubuhi jimbo la Nachingwea.
Mikutano yote imekuwa na idadi ya nyomi ya kutosha hivyo ikawa rahisi kuinadi ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi.
Kuondoa mtaala unaofanana nchi nzima. Mfano Kusini kuna gesi; mtaala VETA Kusini ukidhi utaalam wa gesi.
Mimi si fisadi, wala si tapeli, na Watanzania wote mnanifahamu. Ushindi wangu Oktoba 25 ni dhahiri. Wengine wanasindikiza.
Nachingwea
Ruangwa
Mtama
Kama si uchovu basi anaumwa. Dr. Magufuli wa leo katika mkutano wa Mpilipili,Lindi si yule anayejulikana. Hata sauti yake si ile.
Kama amechoka,apewe muda wa kupumzika;kama anaumwa atibiwe. Dr. Magufuli leo anaogopa kuhutubia kwa muda mrefu!? Anatamani upigwe mziki. Si kawaida. Kuna jambo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam