Dr Magufuli: Wapinzani wametukubali wanaccm wanaodai chama " kinawafuatafuata" wanaweza kuondoka

Dr Magufuli: Wapinzani wametukubali wanaccm wanaodai chama " kinawafuatafuata" wanaweza kuondoka

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewataka wanaccm wanaodai chama kinawafuata fuata kujirekebisha mara moja kwani usipofuata maadili chama hakitaacha kukufuatilia.

Dr Magufuli amesema kwa sasa CCM iko imara kuliko wakati mwingine wowote na hata wapinzani wanaikubali.
Dr Magufuli amesema wale wasiotaka kufuatwafuatwa kutokana na mapungufu yao wanaweza kuondoka, chama kitabaki imara zaidi.

Dr Magufuli ameyasema hayo katika mkutano wa viongozi wa CCM ngazi ya Jumuiya, mikoa na wilaya unaoendelea ukumbi wa mwalimu Nyerere.

Source Ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Takwimu zinaonyesha ccm inapendwa na wasiyojitambua na wenye kiwango kidogo cha elimu
 
Eti kimeimarika nguvu ya kuegemea policcm na serikali vyatoka wapi ka kinapendwa? kawafunga wenzake mikono na miguu naye kutoka nduki halafu anajisifu kashinda mbio
 
Dr Magufuli amesema wale wasiotaka kufuatwafuatwa kutokana na mapungufu yao wanaweza kuondoka, chama kitabaki imara zaidi.

NI CCM PEKEE WENYE UWEZO WA KUTOA KAULI HIYO KWA WANACHAMA,

Siasa za kubembelezana tupa kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika mkuu....... Mbowe hawezi kutoa kauli kama hii lazima atapatwa na kigugumizi!
 
Back
Top Bottom