Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Ya CCM kukubalika!
Kuna kukubalika na kupandikiza hofu ili watu waseme wanakukubali. Anyway, madaraka ya urais yanaweza kukubana mpaka ikabidi ukiri kuwa ccm inakubalika. Hilo ni jambo la kawaida sana kwenye nchi za kidictator, kwani unaweza kulazimishwa kumkubali na usipomkubali pia hupewi ruhusa ya kuonyesha unamkubali nani, hayo ndio mazingira tuliyopo Tanzania hii leo.