johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Takwimu zinaonyesha wapinzani wanaikubali CCM!Chama kiko imara wakati kiategemea dola kushindana na wapinzani?!
Takwimu zinaonyesha wapinzani wanaikubali CCM!
Hahahaaaa....... Bwashee namba hazidanganyi!Mzee Mgaya kwa hiyo ww Magufuli akikuambia kitu unaamini?
Hahahaaaa....... Bwashee namba hazidanganyi!
Kuunga mkono juhudi ndio kukubalika kwenyewe!
Hahahaaaa....... afadhali bhana umekubali matokeo!Wataacha kuunga mkono unataka wakale wapi?
Hahahaaaa....... afadhali bhana umekubali matokeo!
Kama hutaki kufuata taratibu ruksa kuondoka........CCM ni chama kikubwa!CCM kuna fukuto
Chama ni imara bwashee!Kuna mambo hayako sawa CHAMANI.
Ya CCM kukubalika!Matokeo ya nini kwa mfano?
Hakika mkuu....... Mbowe hawezi kutoa kauli kama hii lazima atapatwa na kigugumizi!Dr Magufuli amesema wale wasiotaka kufuatwafuatwa kutokana na mapungufu yao wanaweza kuondoka, chama kitabaki imara zaidi.
NI CCM PEKEE WENYE UWEZO WA KUTOA KAULI HIYO KWA WANACHAMA,
Siasa za kubembelezana tupa kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Membe ni mwepesi sana bwashee....... Na team yake wote wameshaufyata!Jiwe anawashwa tu!membe anamsumbua kichwa sana!!!