Dr Magufuli: Wapinzani wametukubali wanaccm wanaodai chama " kinawafuatafuata" wanaweza kuondoka

Ya CCM kukubalika!

Kuna kukubalika na kupandikiza hofu ili watu waseme wanakukubali. Anyway, madaraka ya urais yanaweza kukubana mpaka ikabidi ukiri kuwa ccm inakubalika. Hilo ni jambo la kawaida sana kwenye nchi za kidictator, kwani unaweza kulazimishwa kumkubali na usipomkubali pia hupewi ruhusa ya kuonyesha unamkubali nani, hayo ndio mazingira tuliyopo Tanzania hii leo.
 
Bwashee wakati Chadema inapendwa wanachama walikuwa wanajaa pale mahakamani kisutu pindi viongozi wao wanapokuwa na kesi....... Leo hii uongozi wote wa juu wa Chadema uko mahakamani lakini makamanda hawana muda wa kufuatilia!
 
Wakati huo walipokuwa wakienda uliwahi kuona polisi wakiwaua? Rejea kilichomkuta akwilina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…