Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
manyaunyau anatisha. pale mwananyamala alifukuza mchawi mchana kutoka pale kwa bi zakalia ndani kwa ndani hadi kwa mtogole watu kibao wanamfuata akanyosha hadi manzese huku ameshikilia paka mdomoni na vijana wake wakipiga ngoma, akanyonya hadi mabibo ndani kwa ndani hiyo mi nikaunga tela, tukaibukia external tukapita makuburi tukatelemka tukapanda tukaibukia kimanga, akadaka paka mwingine kanyonya damu, tukaenda hadi tabata visiwani hadi tabata bima hiyo ishafika saa 12 jioni....
Leo ya siku6,kesho KANUMBA anafufuka.leo siku ya ngapi jamani zimefika saba
leo siku ya ngapi jamani zimefika saba
Hivi na akili zako timamu bado na wewe unaingizwa kwenye kundi la wajinga na kuamini kuna binadamu mwenye uwezo wa kumchinja paka kwa meno?Hata Sokoine alipofariki 1984 tulisikia mengi. Wakadai kageuzwa msukule. Mganga mmoja akadai ana uwezo wa kumrudisha lakini eti aliomba ruhusa kwa Nyerere akakataliwa! Tukasikia uvumi kuwa Sokoine kaonekana Kariakoo wakati alishazikwa Monduli-Juu! Uvumi tu. Na huyu Manyaunyau ni walewale. Lakini ana ujasiri wa ajabu sana, hebu fikiria anavyomkata paka shingo na kunyonya damu yake! Hiyo tu inatosha kuwabadili watu akili maana wanaamini haiwezekani mtu anywe damu ya paka bure tu! Loh, tunayo kazi!