Dr Manyau Nyau kumrudisha Kanumba...

yaani sijacheka hivi muda sasa, ofc nzima ni hatuna mbavu, jamaa wameamua kujoin jf, dubu we ni balaaaa!

hahahahahaha eti manyaunyau mwenyewe yuko ka super nyamwela yaani ndio umeniamaliza kabisaaa
 
ha ha ha...mchawi mlifanikiwa kumkamata???....:doh:
 
naona huyu anacheza na hisia za wapenzi wa kanumba watamrestisha inpic shauri yake
 
Sir God analoamua hakuna anayewez kulipindisha, Manyaunyau analeta issue za wale wanajfany wanafufua wa2 makanisan.
 
ha ha haaaaaaaaa!
Dubu umenichekesha hadi koo linauma.
Ulitaka kuyajua mwanzo mwisho, lkn naona ulisarenda! Sipati picha ulivochoka, dah
 
dubu umenivunja mbavu yaan nina mawazo lakin da!umenifurahisha
 
Hii ya kunywa damu mbichi ya paka ndio inayoogopesha watanzania walio wengi wa uswahilini, kwa sisi tuliozoea ma-discovery channel na ma-animal planet hiyo ni issue ya kawaida sana wale wazungu sio tu wanakunywa damu bali hata nyama wanaila laivu,sio sumu ukinywa hiyo damu ni mazoea tuu, sasa dubu alipoona mtu ananyonya damu ya paka akaacha kila kitu na kujoin msafara!
 
dah nimecheka sana, we dubu umenivunja mbavu, utanilipa ujue
 
Last edited by a moderator:
dah nimecheka sana, we dubu umenivunja mbavu, utanilipa ujue
 
Last edited by a moderator:
dah nimecheka sana, we dubu umenivunja mbavu, utanilipa ujue
 
Last edited by a moderator:
Hivi na akili zako timamu bado na wewe unaingizwa kwenye kundi la wajinga na kuamini kuna binadamu mwenye uwezo wa kumchinja paka kwa meno?

Hivi haujui kwamba mbwa kuna wakati anazidiwa na paka na anakimbia? paka kamwe hawezi kuchinjwa kwa meno na binadamu, paka ni sawa na chui tofauti yao ni maumbo tu, unachokiona kwa Manyaunyau ile ni midoli inatengenezwa South Africa na ndani yake kunakuwa na tomato source

Kwa mtu ambaye amesoma Dar es salaam enzi zetu mashuleni walikuwa wanakuja watu wa Mazingaombwe (magician ) na hicho ndicho anachokifanya Manyaunyau ni kiini macho tu hakuna la zaidi wala hakuna jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…