Dr Manyau Nyau kumrudisha Kanumba...













hapa manyau nyau akiwa kazini.
 
Huyo Manyaunyau ameshawafufua wangapi?
Alishawahi kufiwa na ndugu zake wa karibu?
Vp aliwafufua au hawapendi marehemu ndugu zake.!?
 
sa si afufue tu wote pale kinondoni makaburini,sinza na kwingineko...
 
Ningepata chanzo cha habari hii ningeendelea kuchangia.
 
Ningepata chanzo cha habari hii ningeendelea kuchangia.

muulize kupitia manyaunyau@yahoo.com au mpigie simu 0755631291. Mi nimeongea naye kaniambia siku saba alizo toa hazija isha, halafu kaniambia yeye hafufui watu waliyo kufa na kuzikwa makaburini bali anarudisha watu walipelekwa misukule. nimemuuliza kuhusu kanumba akasema kazi ndo anaendelea nayo ikikaa vizuri ndani ya siku saba atajulisha vyombo vya habari vikashuhudie.
 

We dubu kwani ni msaidizi wake? Maana mmh!
 
hapana, mimi sio msaidizi wake nakanusha. ila mtaani nasikia habari zake mtaani hasa kinondoni.

naona kama siku 7 zmeisha. Vp tujiandae kumuona the great? Hebu ulizauliza basi.
 
ya kweli hayo au ndi zile zile redio mbao?
huyu kijana muongo sana,nakumbuka enzi zile za mnyamala ilikuwa balaa anawapa wabibi wa watu laki anawaharibia maisha kwa kuwatangaza uchawi na kuwanyoa nywele,mshenzi sana huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…