Mama Elvis
Member
- Apr 10, 2012
- 24
- 1
manyaunyau anatisha. pale mwananyamala alifukuza mchawi mchana kutoka pale kwa bi zakalia ndani kwa ndani hadi kwa mtogole watu kibao wanamfuata akanyosha hadi manzese huku ameshikilia paka mdomoni na vijana wake wakipiga ngoma, akanyonya hadi mabibo ndani kwa ndani hiyo mi nikaunga tela, tukaibukia external tukapita makuburi tukatelemka tukapanda tukaibukia kimanga, akadaka paka mwingine kanyonya damu, tukaenda hadi tabata visiwani hadi tabata bima hiyo ishafika saa 12 jioni....
biashara matangazoAtoa siku 7 asema waliohusika kuumbuka vibaya.
Ufufuo manyau nyau.
Tehe tehe umenichesha hadi machozi yamenitoka.
manyaunyau anatisha. pale mwananyamala alifukuza mchawi mchana kutoka pale kwa bi zakalia ndani kwa ndani hadi kwa mtogole watu kibao wanamfuata akanyosha hadi manzese huku ameshikilia paka mdomoni na vijana wake wakipiga ngoma, akanyonya hadi mabibo ndani kwa ndani hiyo mi nikaunga tela, tukaibukia external tukapita makuburi tukatelemka tukapanda tukaibukia kimanga, akadaka paka mwingine kanyonya damu, tukaenda hadi tabata visiwani hadi tabata bima hiyo ishafika saa 12 jioni....
naona huyu anacheza na hisia za wapenzi wa kanumba watamrestisha inpic shauri yake
kwa nini kila kitu cha dogo ni 7,
baba naye alisema ataongea baada ya siku 7,
kufa saa 7,
mmmmmh, ngoja tuone, kwani ni nani asiyependa
hata mfu wake afufuke. na kama ni mbwembwe za manyaunyau inabidi ale kichapo cha mbwa mwizi.