Tetesi: Dr Maulidi Kitenge kuwania ubunge Jimbo la KAWE

Tetesi: Dr Maulidi Kitenge kuwania ubunge Jimbo la KAWE

Anastahili ,Sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika ,huyu kaonesha anafahamu daily anatusomea magazeti na kutuchambulia habari ,
Kilichobaki ni ridhaa tu ya wananchi na chama chake !!,Mzalendo huyu
 
Una uhakika gani kama anajua kusoma au la. Unaweza ukakuta mke wake Kila siku asubuhi kabla hajaenda kazini anamkaririsha vichwa vya habari.

Kitenge siyo wa kumwamini hata kiduchu.
 
1. Mtangazaji nguli na mume wa Mbunge Hanjeh ameonyesha Nia ya kulitwaa Jimbo la KAWE.

2. Kinachosubiriwa kwa sasa ni vikao vya maamuzi vya chama na mafao toka mjengon
Ataweza kufika Kisiwani Ukinawa Japan kuomba meli za uvuvi kama Bishop

Back
Top Bottom