Dr Medard Kalemani (PhD) kutoka Utukufu hadi kusahaulika

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,681
Reaction score
9,575
1. Mwamba alikua wa moto Enzi za jiwe, Mkoani alikua anatembelea king'ora.

2. Leo hii Hana uwaziri na huenda akakatwa juu kwa juu.

3. Ndugu zangu tutembee juu ya Ardhi kwa unyenyekevu na adabu kubwa.
 
Ila we jamaa hamnazo sasa tatizo ni lipi hapo, bado ni mbunge na alishawahi kuwa waziri ana shida gani
 
Mamlaka imepungua. Hakuna mtu mwenye shughuli nae tofauti na Enzi za jiwe
 
1. Mwamba alikua wa moto Enzi za jiwe, Mkoani alikua anatembelea king'ora.

2. Leo hii Hana uwaziri na huenda akakatwa juu kwa juu.

3. Ndugu zangu tutembee juu ya Ardhi kwa unyenyekevu na adabu kubwa.
Tushamsahau, weka picha
 
hiyo ndiyo profession yako? basi tutakuwa tunakurudia kila wakati utujulishe yupi mwingine ambaye success yake ilikuuma na sasa yuko chini umepata ahueni …
 
1. Mwamba alikua wa moto Enzi za jiwe, Mkoani alikua anatembelea king'ora.

2. Leo hii Hana uwaziri na huenda akakatwa juu kwa juu.

3. Ndugu zangu tutembee juu ya Ardhi kwa unyenyekevu na adabu kubwa.
Alimkosea Mwenye nchi kwa kiburi alichotoka na nacho awamu ya JPM
 
Back
Top Bottom