Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Majuzi niliwahi kumuona kazimikiwa na lile Benz lake Kuu Kuu maeneo ya MTUMBA, DodomaInasikitisha sana
Ila we jamaa hamnazo sasa tatizo ni lipi hapo, bado ni mbunge na alishawahi kuwa waziri ana shida gani1. Mwamba alikua wa moto Enzi za jiwe, Mkoani alikua anatembelea king'ora.
2. Leo hii Hana uwaziri na huenda akakatwa juu kwa juu.
3. Ndugu zangu tutembee juu ya Ardhi kwa unyenyekevu na adabu kubwa.
Mamlaka imepungua. Hakuna mtu mwenye shughuli nae tofauti na Enzi za jiweIla we jamaa hamnazo sasa tatizo ni lipi hapo, bado ni mbunge na alishawahi kuwa waziri ana shida gani
ππππMajuzi niliwahi kumuona kazimikiwa na lile Benz lake Kuu Kuu maeneo ya MTUMBA, Dodoma
Tushamsahau, weka picha1. Mwamba alikua wa moto Enzi za jiwe, Mkoani alikua anatembelea king'ora.
2. Leo hii Hana uwaziri na huenda akakatwa juu kwa juu.
3. Ndugu zangu tutembee juu ya Ardhi kwa unyenyekevu na adabu kubwa.
Alimkosea Mwenye nchi kwa kiburi alichotoka na nacho awamu ya JPM1. Mwamba alikua wa moto Enzi za jiwe, Mkoani alikua anatembelea king'ora.
2. Leo hii Hana uwaziri na huenda akakatwa juu kwa juu.
3. Ndugu zangu tutembee juu ya Ardhi kwa unyenyekevu na adabu kubwa.