Dr. Miguna kuwasili Kenya Octoba 25, 2022

Dr. Miguna kuwasili Kenya Octoba 25, 2022

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter, Wakili Dr. Miguna Miguna ametangaza kurejea Nchini Kenya usiku wa Octoba 25, 2022.

Amesema kuwa ataondoka Toronto Octoba 24, 2022 na itakuwa ni safari yake ya kwanza Kurejea nchini humo kwenye kipindi cha miaka 5 ya kukaa uhamishoni.

Dr. Miguna aliondolewa Kenya baada ya kumwapisha Mhe. Raila Odinga kuwa Rais wa nchi hiyo mwaka 2007 kinyume cha Sheria za nchi hiyo.
 
Back
Top Bottom