William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Field achana na hi thread naona natija ya maana kwani ukitaka unawafahamisha but watu wanabisha sasa
ukibishana nawatu wasiotaka kufahamu utaumia bure wacha Akina mahanga na mathayo wakafundishe watoto wetu na tuwe na wanataalumu wasiofahamu kitu matokeo mikataba mibovu. Tunalipa watu kutufundisha na nchi inabakia palepale hebu nijitoe katika hii thread adios guys
However:
- Msemakweli akiweza kuthibitisha with strong evidence kwamba wananchi walimchagua ubunge kwa sababu ya kuamini kwamba ana PhD over Mzee Rupia kutokua nayo, then Mahanga atakuwa kwenye fault na sheria,
- Pia iwapo Msemakweli atathibitisha with strong evidence kwamba Mahanga amepewa uwaziri kutokana na kuwa na PhD over wabunge wengine wasiokuwa nazo, Mahanga again atakuwa kwenye fault na sheria, na hii ni common sense tu over the ishu!
Respect.
FMEs!
- Mushi aliyonayo Mahanga ni PhD hilo halina ubishi, isipokuwa kuna onyo kutoka kwa watoaji wa hizo PhD za aina yake kwamba haziwezi kutumika kwa ajili ya academic purposes popote pale duniani.
Hii PhD sio feki! Labda tunaweza kusema haina credibility lakini kuiita feki sio sahihi. Obviously Mahanga ameapply somewhere kuipata hiyo Phd, na amefanye kitu fulani ili kuipata e.g ameandika essay ya maneno 100 labda.
Unless kama kuna mtu anadai Mahanga hajaipata hiyo Phd kutoka hicho chuo, sidhani kama kuna mtu anadai hilo.
Ni wajibu wa employer kuangalia kama kuwepo kwa hiyo Phd kwenye CV ya mtu ni kitu kizuri au kibaya, Mahanga hajadanganya kokote, ni kweli anayo hiyo Phd na ndo maana ameiweka kwenye CV yake.
Mimi kama ningekuwa ni mwajiri, ningeangalia ile CV, nitagoogle ile Uni, nitakapoona reputation ya hiyo uni ndo nitanfanya maamuzi ya kumwajiri huyo mtu. Siwezi nikasema kuwa Mahanga ni mwongo, ni kweli amepata hiyo Phd, ila mimi nimeichukulia kama worthless, na kwa kuiweka hiyo Phd kwenye CV yake Mahanga naye nimemwona worthless.

Naona wenzako wamenielewa, soma vizuri tena.Naona confusion ktk hii post mkuu. Nahisi unashindwa kucommunicate what you have. You could be having some point but communication is your major barrier. Maana naona mkinzano wa hoja ndani ya hii post yako,i.e unajichanganya tu. Mfano umeanza kwa kusema "hii PhD sio fake" alkini supporting information ya hii premise haina mshiko kabisa. Inamaana mtu akisema ana PhD ya Havard kwenye cv yake na wewe ukigoogle ukaona kweli havard ni accredited university then PhD hiyo ni ya ukweli?
Baadae unasema kwa kuiweka PhD hiyo kwenye CV yake umemuona jamaa ni worthless. Sasa ulivyosema sio fake je ulimaanisha nini? Kama sio fake kwanini asiiweke kwenye cv? Inawezekana umejichanganya kidogo mkuu. Respect!
Unatakiwa kufunga hilo domo lako kubwa.Msemakkweli anatakiwa afundishwe adabu.
Fake; to conceal the defects of or make appear more attractive, interesting, valuable, etc., usually in order to deceive: The story was faked a bit to make it more sensational
Wakuu wengine mnafurahisha sana,halafu hapa ni watu tunaokuja JF lakini bado hatujishughulishi kufikiri?Halafu hata ule mkumbo wa JK nilidhani wale asilimia 70 hawako hapa JF lakini ni wazi i was wrong....
FMES,Waberoya,Kasheshe,Mdondoaji na wengineo; Kwa mujibu wa dictionary.reference.com hapo chini ni tafsiri ya neno fake,tafsiri ambayo inaendana kabisa na maneno niliyosema hapo nyuma,tatizo la kukariri na mtu akisema feki basi tunachulia feki kama pesa nk,hatuelewi kwamba tafsiri ziko broad?
Sikusema kwamba kama unawakilisha something as accredited na ukweli ni kwamba siyo accredited,tayari umesha conceal the fact kuwa si accredited hence fake...?Ninashangazwa sana wakuu,ama tunajadili kimaslahi zaidi?
Tuwekane sawa hapa,na wengine kuja na kudai usisumbuke kumwelewesha mtu,we mdondoaji kauli yako ni ya kipuuzi,haya sasa wewe sema hapo chini kama tafsiri ya fake haiendani na kesi hii,kama aliiweka kwenye resume yake na kuiwakilisha as if ni accredited,basi chini ya misingi hiyo ina defects.Na kwenye kesi ya Msema Kweli yeye Mahanga kama public figure ndiye mwenye burden ya kuprove kwamba haina defects chini ya taratibu zilizopo....Na kwasababu Mahanga anahold public office,then everything is fair game....Na pia mujuwe tofauti kati ya hizo Phd za heshima na zile un accredited,maana naona mnarundika hoja mfu humu,na kuanza kuzifananisha hizo Phd za heshima wanazotunukiwa vs hii ambayo ni mtu mwelewa tena msomi aliyekwenda kuichukua na huku akijua kuwa siyo accredited,kesi kama hizi uelewa wa this time wa plaintiff ie professionalism yake, utakuwa put into account,kwamba inawezekana vipi mtu wa nafasi kama yake ashindwe kuona mambo kama hayo?Na hao TCU kama wamemsafisha Mathayo shida iko wapi kwa Mahanga?
Wengine inaonekana mnalazimisha kujifurahisha,hata kama nisipoendelea kubishana na nyie hapa haita badilisha chochote,hivyo tusubiri tuone,kama niko wrong basi mtaniambia na kama mko wrong ntawaambia tu.
Kwa tafsiri hiyo hapo juu,something might be real but sitll fake.
Mie nadhani kimsingi kuziita PhD kama za kina Mathayo ni fake sio sahihi kwani zinatokea katika institution ambazo kiukweli hazitambuliki. Ndio maana mie katika threads zangu zote nyuma nasema ni questionable kwani hadi itakapokuwa zimethibitika kuwa ni feki ndio tuziite feki.
Kuziita questionable ni vizuri kwani inasaidia kuweka mazingira kumpa haki mtuhumiwa na sio kumtuhumu moja kwa moja. Kwani inawezekana Mathayo alijiunga Free State akijua ni chuo bomba kumbe ni chuo bomu. Au Mahanga alijiunga Washington akijua chuo kizuri kumbe ni bomu. Kisheria any suspect is presume to be innocent until proven guilty. Ila nadhani naomba nirejee hoja ya Abdulhalim kule nyuma alisema kuwa kuna haja kuzitofautisha hizi PhD kwani zinaharibu nadharia na efforts za watu kusoma hizo degree. Honararium Doctorates, Professional Doctorate should not be allow to be called themselves Dr as they do not have the appropriate academic merits kujiita hiyo Title. Just imagine Karume ambaye hata form four hajamaliza siku hizi anajiita Dr Karume tutafika???
Na vipi wanazisomea hizo Doctorate unadhani unawapa motisha gani kuzisoma kama kuna watu wanafanya online doctorate 6 months, au wanatunukiwa basi washakuwa madr. Ndio nchi itaendelea??? Wenzetu wanalinda sana heshima ya hizi degree kwani wanajua ndio uti wa mgongo wa nchi. Sie ndio vice versa tunapeana udr kama maharage ya mbeya.
Huo si upuuzi kwani tunaliweka taifa in limbow? Je upi ni upuuzi mushi kuruhusu watu wajichukulie degree kama wanavyononunua maharage sokoni au wakasome shule ili waje kufundisha watanzania na taaluma zao.
Mie sielewi ndio maana nasema tuwaache tu wajazane Dr. Mathayo, Dr. Mahanga, Dr. Kifimbocheza, Dr. Mtambanamungu, Dr. Matuge Herbalist, Dr. Karume , Dr. Salim na wengine wote kwani ishaonekana hata hao TCU hawajui wanalolifanya kama taifa letu halitaangamia.
the saddest part kwa huyu mzee wa mapanga ni kwamba hahitaji PhD feki kuwa na public position kwani yuko poa... ni kama mama nagu, ana masters safi sasa sijui huko kwenye PhD anafuata niniMimi si mwanasheria lakini nafahamu kutokujua sheria hakukuzuii wewe kushtakiwa kwa kuivunja sheria hiyo.
huyu njemba kama anahold public office hawezi kuja na utetezi kuwa nilisoma pale nikiwa sijui kuwa kile ni chuo fake/wanatoa PhD fake.This is just stupid on his side.
That PhD will either be real of Fake no intermediary.
PhD not to be used in academic purposes looks like a PONZI SCHEME to me!why would a decorated public official spend two hours chasing a useless PhD?
It must have other uses besides academics,can mr.mahanga or his wapambe\ enlighten us on the matter?!
The fact that the guy is using the Dr. title associated with an academic PhD shows a lot about the intentions of this crook.and if mr.Kikwete was any smarter/decent the boy should have been booted of the post effective immediately on grounds of deceiving and misuse of public trust.
ofcourse sitegemei Mr.Kikwete afanye kitu chochote kwani na yeye yuko bize kumake sure anaitwa Dr.Kikwete,But they should know real academicians don't even bother to be called Dr. everywhere they go,and sometime even in their official positions.
Look at Eric Schmidt-Google CEO,the guy has a PhD in one of the most important & toughest fields in Computer science,Yet you will never hear Eric calling himself a Dr or even put this Dr.initial before his name.
Just out of curiosity,what field did this cheap crook work on in his PhD?
Mimi si mwanasheria lakini nafahamu kutokujua sheria hakukuzuii wewe kushtakiwa kwa kuivunja sheria hiyo.
huyu njemba kama anahold public office hawezi kuja na utetezi kuwa nilisoma pale nikiwa sijui kuwa kile ni chuo fake/wanatoa PhD fake.This is just stupid on his side.
That PhD will either be real of Fake no intermediary.
Lakini ishu inakuja vp mzee unataka kuniambia Mahanga akiwa hajui kama chuo kinatoa degree bomu utamshitaki? Mfano ikijulikana kuwa Mahanga alifata njia zote kuhakikisha kuwa chuo kiko sahihi utamwita amepata PhD feki? je vp mtu aliyetapeliwa kesi zao zinaitwaje mie sio mwanasheria hebu nifahamishe kidogo.
Jamani hizi degree ni questionable tu zikithibitika sahihi basi lakini sidhani ni sahihi kuziita feki mkubwa ni hilo tu!!!!

the saddest part kwa huyu mzee wa mapanga ni kwamba hahitaji PhD feki kuwa na public position kwani yuko poa... ni kama mama nagu, ana masters safi sasa sijui huko kwenye PhD anafuata nini
PhD not to be used in academic purposes looks like a PONZI SCHEME to me!why would a decorated public official spend two hours chasing a useless PhD?
It must have other uses besides academics,can mr.mahanga or his wapambe\ enlighten us on the matter?!
The fact that the guy is using the Dr. title associated with an academic PhD shows a lot about the intentions of this crook.and if mr.Kikwete was any smarter/decent the boy should have been booted of the post effective immediately on grounds of deceiving and misuse of public trust.
ofcourse sitegemei Mr.Kikwete afanye kitu chochote kwani na yeye yuko bize kumake sure anaitwa Dr.Kikwete,But they should know real academicians don't even bother to be called Dr. everywhere they go,and sometime even in their official positions.
Look at Eric Schmidt-Google CEO,the guy has a PhD in one of the most important & toughest fields in Computer science,Yet you will never hear Eric calling himself a Dr or even put this Dr.initial before his name.
Just out of curiosity,what field did this cheap crook work on in his PhD?
- Mushi aliyonayo Mahanga ni PhD hilo halina ubishi, isipokuwa kuna onyo kutoka kwa watoaji wa hizo PhD za aina yake kwamba haziwezi kutumika kwa ajili ya academic purposes popote pale duniani.
- Kosa la Msemakweli ni kushutumu kwamba Mahanga ana PhD isiyo ya kweli, wakati Mahanga anayo PhD ya kweli, Msema kweli angekuwa na hoja iwapo angemshutmu Mahanga kwa kutaka kuitumia PhD somewhere na akathibitisha hoja yake with evidence, Mahanga si waziri kwa sababu ya kuwa na hiyo PhD, na wala si mbunge kwa sababu ya kuwa na hiyo kihiyo.