Dr. Mollel amemsifia Tundu Lissu au amemkejeli?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,645
Reaction score
10,867
Dr. Mollel anadai kwamba Tundu Lissu:
1. Ana IQ ndogo sana
2. Ubongo wake unaweza kubeba GB chache tu
3. Kinachomfanya awe muongeaji mzuri ni bidii yake katika kusoma Vitabu!

Hizo ni sifa au kejeli?
 

Attachments

  • 6055010-31f42d3449596de37e284d48267ceb92.mp4
    4.4 MB
Dr. Mollel anadai kwamba Tundu Lissu:
1. Ana IQ ndogo sana
2. Ubongo wake unaweza kubeba GB chache tu
3. Kinachomfanya awe muongeaji mzuri ni bidii yake katika kusoma Vitabu!

Hizo ni sifa au kejeli?

Kwani hajasikia huyu nduguye katika imani anasema je?

Your browser is not able to display this video.
 
kheri ubongo wenye gb 3 ila una fanya kazi kikamilifu na uadilifu.

kuliko kichwa cha tb 3 chenye kuleta uharibifu, na kugeuka mbwa mwitu.
 
Hata ukiangalia tu sura. Mollel na Lissu nani mwenye IQ ndogo?
Sasa njoo kwenye maneno waliyokwisha kutamka nani ana akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…