badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,761
Imagine kiongozi mkubwa serikalini anaenda kwa mganga. Hii amwamu kila kiongozi anamganga wake ndio maana kila mtu muoga muoga kufanya maamuzi kwa faida ya watanzania.
Dr. Mpango alishawaambia nyie viongozi acheni mambo ya imani za kishirikina, unakuta Mbunge, Waziri, Mkuu wa Mkoa au wa Wilaya, Katibu Mkuu na Wakurugenzi wengine suti kubwaa alafu ndani kavaa hirizi kiunoni.
Kama mnaogopa kulogwa acheni vyeo muwape nchi watoto wa Mungu.