Aiseeee !!Yeye ndio mnafiki alikuwa anaumwa hoi akalazimishwa atoke hospitali aitishe waandishi aseme Corona haipo.
Full kukohoa!
Viongozi wa dini wenyewe wana hirizi na waganga wa kienyeji wana misahafuImagine kiongozi mkubwa serikalini anaenda kwa mganga. Hii amwamu kila kiongozi anamganga wake ndio maana kila mtu muoga muoga kufanya maamuzi kwa faida ya watanzania.
Dr. Mpango alishawaambia nyie viongozi acheni mambo ya imani za kishirikina, unakuta Mbunge, Waziri, Mkuu wa Mkoa au wa Wilaya, Katibu Mkuu na Wakurugenzi wengine suti kubwaa alafu ndani kavaa hirizi kiunoni.
Kama mnaogopa kulogwa acheni vyeo muwape nchi watoto wa Mungu.
Full kuchanganyikiwa🤣Viongozi wa dini wenyewe wana hirizi na waganga wa kienyeji wana misahafu
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Nje ya MadaYeye ndio mnafiki alikuwa anaumwa hoi akalazimishwa atoke hospitali aitishe waandishi aseme Corona haipo.
Full kukohoa!
Hii inauhusiano gani na mada tajwa?Yeye ndio mnafiki alikuwa anaumwa hoi akalazimishwa atoke hospitali aitishe waandishi aseme Corona haipo.
Full kukohoa!
Magonjwa ni kwa yoyote.Yeye ndio mnafiki alikuwa anaumwa hoi akalazimishwa atoke hospitali aitishe waandishi aseme Corona haipo.
Full kukohoa!
Acha watu waambiwe ukweliviongozi wanapaswa kuwa makini na matokeo ya kauli zake
jana kuna Mheshimiwa katangaza kuwa samaki wa kanda ya Ziwa wanafugwa kwa kutumia maji ya kuoshea maiti
hii kauli inaweza kuua kabisa biashara yetu ya samaki ndani na nje ya Nchi
Ndani ya madaNje ya Mada