Dr. Mumbi anajaribu kuwafungua macho na masikio wakenya kuhusu TZ, Wameweka pamba masikioni

Dr. Mumbi anajaribu kuwafungua macho na masikio wakenya kuhusu TZ, Wameweka pamba masikioni

Mafisi bwana!![emoji23][emoji23]
IMG_20190519_172740.jpeg
 
1. "Nilipo mwita mwandishi mama sikuwa na nia ya kumdhalilisha" ebo! Hujui jina lake!? Kumwita "Mama yule" au "mama huyu" ni pale tu humjui jina. Yeye ni Dr. Mumbi na kwenye channel yake kaandika hivyo. Kwenye interviews zake anajitambulisha hivyo. Hizi ni tambia za watu wachache walio na fikra za ubaguzi wa kijinsia. Tabia yako hii ni mbaya unatakiwa ubadilike tupo kwenye modern world wanawake na wanaume wanafanya kazi kwa pamoja.

2. Bado unaendeleza ego ya kujiona wewe unajua yote na mkaguzi wa wengine. Mtu kafunga safari toka Kenya mpaka Tanzania unasema hakujiandaa!? Dr. Mumbi hafanyi kazi kukulidhisha wewe anafanya kazi kwaajili ya watu wengine. Nenda kasome comments kwenye vipindi vyake utaona watu wanavyo shukuru kipindi chake.

Subscribers wanaongezeka siku hadi siku.

3. "SORRY next time nitajirekebisha" Unavyoonekana hupendi kazi za wengine wakati wewe huwezi kufanya. Jirekebishe na UHESHIMU KAZI ZA WENGINE. Mtu makini hawezi kumwita Dr. Mumbi shallow. Ni watu aina yako wanaojiona kuwa wanaakili vichwani mwao wao wenyewe kumbe ni wapumbavu.

4. Nimesema tangu 2010 unawadhalilisha viongozi wa taifa na watu wenye umri zaidi yako. Ushahidi upo zipo commet na threads zako. Ninachokusihi badili tabia kama leo ulivyo kubali kuwa utajirekebisha.

..Again, jina Mama/Baba/Dada/Kaka siyo udhalilishaji hata kidogo.

..Labda nina standards tofauti na zako kuhusu interviews.

..wewe umeona interview ni nzuri hayo ni mawazo yako.

..mimi nimeona interview siyo nzuri. And she could have come from Venus and still be unprepared.
 
Hehehe yaani atoke huko bila mimba ukizingatia gharama mnazoingia kumuweka kwenye hoteli za kifahari, hainingii akilini analala mwenyewe humo.
Badala ya kuongelea jinsi MAFISADI WENU WANAVYOITAFUNA NCHI wewe upo bize na mapenzi.

Hovyo sana.
IMG_20190519_172501.jpeg
 
Mlivyo waoga mumemuwacha anatangatanga sijui kipi anafanya cha maana zaidi ya kuwakuna huko, mumeogopa kumtongoza...

Ww unafikiri sifa zote anatupatia kwa sababu gani? Amekunwa vizuri na Mtanzania Wakenya hamjui kukuna vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
..Again, jina Mama/Baba/Dada/Kaka siyo udhalilishaji hata kidogo.

..Labda nina standards tofauti na zako kuhusu interviews.

..wewe umeona interview ni nzuri hayo ni mawazo yako.

..mimi nimeona interview siyo nzuri. And it she could have come from Venus and still be unprepared.
1. Ukifundishwa kitu kubali kufundishika.
Neno "Mama yule" au "Mama huyu" hutumika tu endapo humjui jina lake.
Mzazi wako utamwita mama na siyo "mama huyu" kwanini inakuuma kumwita Dr. Mumbi!?
Katika comments zako zote umeshindwa kabisa kumwita hivyo.
Again ninasema badili mtazamo.

2. "Wewe umeona...." Ona sasa hii ego inakuharibia kila kitu. Ukaguzi upi umeufanya na kujua mimi nimeona unachojaribu kutengeneza!? Jokakuu jaribu kubadili mtazamo. Acha kujadili personality vilevile ondoa mawazo ya KIBAYA na KIZURI utaishi maisha marefu.

3. Ninacho kuomba usijaribu kujibu vitu kwa jazba ya kibaguzi kijinsia, kitabaka au namna nyingine. Watanzania hatuna mambo hayo ya kibaguzi. Badilika ndugu. Uliposema SORRY nikadhani umeelewa kumbe bado unaendeleza unafiki wako. Ukisema sorry basi badilika.
 
..sina chuki na waTz.

..ningekuwa na chuki ningefurumusha matusi kama ulivyofanya.

..huyu mama anaifanya serekali yetu ionekane ina watu wa hovyo-hovyo sawa na yeye.
Uhovyo upo wapi, be specific. Ww ni wa hovyo, ndio maana unadhani vitu usoafiki ni hovyo kama ww
 
Nilimsikiliza Akimhoji CEO wa ATCL, CEO alijibu poa sana ila sisi bongo bna huyo dkt ni mwandishi uchwara tu huko YouTube inakuaje anapata clearance kubwa ivo mpaka kuwafikia Ministries wetu
 
Ego inakumaliza.
Nimekuuliza wewe ndiye unayepima uwezo wa mtu!? Umepima kumlinganisha na nani!?
Badala ya kumtia moyo wewe unatoa maneno ya uharo.

Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu. Je, wewe umewahi kujaribu hata kufanya hivyo!?

Unaweza kuta huwezi hata kuongea mbele ya camera.
Unajadili personality ya Dr. Mumbi!? Badala ya kujadili context ya kipindi chake cha Wakeup Africa!?
Kati ya wewe na yeye nani ni shallow!?
Yeye anakipindi kinachoitwa Wakeup Africa.
Wewe hapa unajadili personality yake na si context.
WEWE NI SHALLOW KICHWANI.
Kufanya personal attack ni rahisi mno hata kichaa anaweza. Ndicho unachokifanya wewe.
Ahsante sana, on top of that, huyu jamaa atakuwa mhutu wa Rwanda, wana laana ya ubaguzi, kikwete alivyokuwa against Kagame, he was so happy, you could see through his posts, magufuli wanapatana na kagame, haoni jema kabisa utawala huu. Ati anamwita dr mumbi, hovyo. Alafu limejificha huku na fake id whilst dr mumbi is out there, hajioni uhovyo wake.
Kukosoa kazi rahisi sana.
 
Asante ndugu. Kumbe hamaa ni Muhutu wa Rwanda. Hawa watu tuliwapokea na kuwapa sehemu ya kuishi leo hii wamekuwa wajuaji wajuaji. Wamesahau walikotoka.

Ndio maana ninashangaa mtanzania halisi aliyelelewa katika maadili ya kitanzania hawezi kuwa hivyo. Nimemwambia ajitokeze wazi wazi kaufyata mkia kwakua anajua kitakachomtokea.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hongera sana Dr Mumbi. Waandishi wetu wa habari hawaoni haya. Wamebaki na umbea tu.
We have many good things which we can show to the world [emoji901]. Mungu ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu ibariki Afrika.
Dr. Mumbi yupo Tanzania. Ameendesha vipindi vyake kadha wa kadha kusuhusu sekta mbalimbali hapa Tanzania.

Kusema kweli ametumia muda wake vizuri kuhabarisha ulimwengu kuhusu Tanzania.

Hizi ni baadhi ya interview na watendaji wa serikali kuhusu ujenzi wa Taifa.

Utaona katika interviews hizo watendaji wanaelewa dreams za watanzania kupitia rais wetu JPM:-
SUALA LA IMF

WIZARA YA NISHATI

SHIRIKA LA NDEGE TZ

WIZARA YA MADINI

KITUO CHA UWEKEZAJI

SHIRIKA LA RELI TANZANIA
 
..she was not prepared.

..the questions she asked were not good.

..that caused gov officials she interviewed to come out flat.

..angekuwa na maswali mazuri, angepata majibu mazuri yenye kuelimisha watazamaji wake.
Uzuri watazamaji wake unao waongelea kila wakiangalia wana fursa ya kutoa maoni. Kwenye comment section ukisoma wao wanakuwa wa wazi kwamba interviews zimekua informative na wanashukuru na aendelee kuhoji wengine. Wewe ni nani mpaka useme yuko shallow! Kila mtu ana audience yake, wewe hau fit kuwa sehemu ya audience yake. Hii ndiyo sababu kuna wengine wana angalia Futuhi, Shilawadu, Mizengwe ila hawawezi kuangalia taharifa ya habari. Tafuta vipindi utakavyo enjoy achana na Dr Mumbi apige kazi yake kwa ajili ya watazamaji wake kutoka pembe zote za dunia.
 
Hehehe yaani atoke huko bila mimba ukizingatia gharama mnazoingia kumuweka kwenye hoteli za kifahari, hainingii akilini analala mwenyewe humo.
Unavyo ongea kama kidume cha mbegu kumbe mama kayayi anakupigaga makofi mpaka mmeanzisha chama chenu cha kuwatetea [emoji23]. Ondoa hofu leo nataka nikale futari pale Serena huku nikiwa rada, huyu lazima tumfanye kama Anarlisa.
 
Uzuri watazamaji wake unao waongelea kila wakiangalia wana fursa ya kutoa maoni. Kwenye comment section ukisoma wao wanakuwa wa wazi kwamba interviews zimekua informative na wanashukuru na aendelee kuhoji wengine. Wewe ni nani mpaka useme yuko shallow! Kila mtu ana audience yake, wewe hau fit kuwa sehemu ya audience yake. Hii ndiyo sababu kuna wengine wana angalia Futuhi, Shilawadu, Mizengwe ila hawawezi kuangalia taharifa ya habari. Tafuta vipindi utakavyo enjoy achana na Dr Mumbi apige kazi yake kwa ajili ya watazamaji wake kutoka pembe zote za dunia.
Neno kuntu sana hili. Ila uki" zoom" sana anachotaka kukizungumza sio Dr.Mumbi, yeye hakufurahishwa na matokeo ya hivi vipindi vya Dr.Mumbai(Tanzania version). Vipindi vimeonyesha jinsi Tanzania ilivyo ktk uhalisia wake, watu wengi wamejua kwamba Tanzania inajitahidi sana kusonga mbele tofauti kabisa na kawaida iliyojijenga duniani kwamba Africa hatuwezi kufanya miradi yetu bila kukopa pesa, kitendo hicho cha dunia kujua hivyo, ndicho kinachowauma watu wengi wa mrengo wa kimagharibi.
 
We are good people, we welcome all kind of media which seek to know the truth about our progress in the country..
Cha pili, siku hizi watu wanaangalia njia bora na rahisi ya kufikia audience kubwa bila cost kubwa na moja ya njia hizo ni YouTube channels ka hujui zna wafuatiliaji wengi na kutoka mataifa yote... Sio kila MTU SKU hizi anaangalia mahabari kwa tv
Nilimsikiliza Akimhoji CEO wa ATCL, CEO alijibu poa sana ila sisi bongo bna huyo dkt ni mwandishi uchwara tu huko YouTube inakuaje anapata clearance kubwa ivo mpaka kuwafikia Ministries wetu
 
Back
Top Bottom