Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Fantasies, hallucinations na experiences za mtu mmoja anayesadikiwa kuishi takriban miaka 1500 iliyopita, tena completely illiterate, ndiyo ziamue wewe, mwenye akili zako timamu, unayeishi 2022, uishi maisha ya aina gani dunia hii? Seriously?
 
Fantasies, hallucinations na experiences za mtu mmoja anayesadikiwa kuishi takriban miaka 1500 iliyopita, tena completely illiterate, ndiyo ziamue wewe, mwenye akili zako timamu, unayeishi 2022, uishi maisha ya aina gani dunia hii? Seriously?
Mbona akina nyinyi munaishi na hizo fantasies za mtu wa miaka zaidi ya elfu 2 iliyopita?
 
Wote ni matapeli tu, there is conflict of interest kwa waganga wa kienyeji wanaojiita matabibu
 
Aliye na ushahidi basi na auweke hadharani. Hata hivyo mada aliyozungumzia huyu Sheikh haihusiani na kudhalilisha wanawake, imehusu akina mama wanaokwenda kwenye maombi.
Nguvu zote hizo kumtetea Alhad?? LoL, yawezekana na wewe ni mhanga wa Shehe mlawiti, umeshaliwa
 
Fantasies, hallucinations na experiences za mtu mmoja anayesadikiwa kuishi takriban miaka 1500 iliyopita, tena completely illiterate, ndiyo ziamue wewe, mwenye akili zako timamu, unayeishi 2022, uishi maisha ya aina gani dunia hii? Seriously?
🤣🤣🤣 eti illiterate? Show them the way. Nashangaa sana wanakomaa na vitu vingine ambavyo haviendani na mazingira.

Tuna struggle kila siku ku-master mazingira tuliyonayo halafu kuna watu wanaturudisha nyuma
 
Sheikh pia yupo sahih , Muhammad sio tu kutoa Dua kakataza mpaka kutoa salamu kwa wakristo

Muhammad alisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa ya njia.
Sahih Muslim 2167
Baguzi sana..

#MaendeleoHayanaChama
 
Dr. Mwaka amjibu Shekhe wa Mkoa wa DSM

View attachment 2356179



View attachment 2356181

Dr. Mwaka amesema kuwa watanzania siyo wajinga na wanayofanyiwa wanayaona, Masheikh wachafu na wasafi wapo na watanzania wanawajua. Ushahidi wa Masheikh hawa wachafu, watanzania wanao na hata yeye Mwaka mwenyewe anao pia.

Akasema kuna watu ambao kwa sura ya nje wanaonekana ni Masheik/Wachungaji lakini ndani yao ni wachoyo, wasengenyi, wazinzi, walafi na kila aina ya takataka na baadhi yao wanafanya mambo yao kwenye ofisi zao.

Akaendelea kusema kuna baadhi ya viongozi wa kiislamu ambao wanafatwa na wanawake kwaajili ya kuomba ushauri dhidi ya ndoa zao lakini wanaishia kupewa dola 100/200 kuomba namba za simu na kuanza kuwatongoza. Ushahidi anao lakini hawaweki hadharani kufunika kombe mwanaharamu apite, na akitaka Mwaka atoe ushahidi huo aseme "Suuu!"



View attachment 2356405
Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam alisema watu wanaharibu sana dini na kuingilia fani ambazo si zao, akisema mtu ambaye alisema Muislamu kuombewa dua na Mkristo ni sawa, na pia mtu anaweza kwenda kuomewa dua na Sheikh/Mchungaji wakati Mungu hana hata muda naye wakati Sheikh wa Mkoa akisema hii si sawa na haifai, ibada ya muislamu haiwezi kufanywa na asiyekuwa muislamu.

Waislamu na wakristo wasaidiane katika mambo mengine lakini sio kuombeana dua. Akasema Masheikh wafungue vituo vya dua vyao kuwasaidia wenye matatizo ili wasikimbilie kwa Mwamposa kwasababu haifai na siyo sawa kwa Mkristo kumuombea dua Muislam.
Sheikh Alhad ameongea vizuri tena kwa lugha ya staha. Sana.Sasa huyu anayejiita Dr. Mwaka sijajua kwa nini ame 'react' kwa maneno makali ,machafu,yasiyo na staha na yanayodhalilisha.Mtu anayedai ana ushahidi wa faragha za watu ni mtu hatari hata katika jamii inayomzunguka kwa sababu faragha zao zipo hatarini.Mbona naona huyu Mwaka ametangaza vita ambayo itamgharimu hata kwenye biashara zake mwenyewe.
 
Sioni tatizo la Dr. Mwaka na kingine hakuna mkamilifu ko mashehe/wachungaji kama hujatajwa direct usi-panic kwa sababu hao watumishi wa hivyo wapo!
 
Kila mtu apambane na dini yake

Kama we ni mkiristo ombewa na mkiristo mwenzako kama wewe ni muislamu ombewa. Na mwislamu mwenzako


Hatutaki tena hizi vurugu na mchanganyano na vijembe vya chinichini
Umekosea mkuu, dini ni imani ya mtu naweza kuwa mkristo nikaona shekhe wa Dar anifaa sidhani kama utanizuia nisiende kwenye maubiri yake.
 
Sheikh Alhad ameongea vizuri tena kwa lugha ya staha. Sana.Sasa huyu anayejiita Dr. Mwaka sijajua kwa nini ame 'react' kwa maneno makali ,machafu,yasiyo na staha na yanayodhalilisha.Mtu anayedai ana ushahidi wa faragha za watu ni mtu hatari hata katika jamii inayomzunguka kwa sababu faragha zao zipo hatarini.Mbona naona huyu Mwaka ametangaza vita ambayo itamgharimu hata kwenye biashara zake mwenyewe.
Ila naye sheikh wetu wa Dar sometime anakurupuka mambo mengine ni ya kuongelea msikitini au makanisani, awafunde waumini wake hukohuko, tena kuanzia madrasa.
 
Kwa hio kwenye zile hafra kubwa za kiserikali mashekhe hua wanaombea nchi ambayo ndani ya nchi kuna wakristu (ambao wamesema wasiwaombee) na mapadri/wachungaji wanaombea nchi ambayo ndani ya nchi kuna waislam (ambao anasema sio sawa kuombewa na wakristu), kwa hio mashekhe hua wanafanya unafki wanawaombea waislamu tu pale kwenye zile hafra za kiserikali hawataki kuombea wakristu au kuna kuwaga na nini kinatokea?
Ndio maana nikasema huyu sheikh wetu anakurupuka kujibu maswali, umehoji vizuri mkuu.
 
DR MWAKA NAKUUNGA MKONO.

KUWA MCHUNGAJI AU SHEHE SIO TIKETI YA UTAKATIFU. UNAWEZA KUWA SHETANI KAMA SHETANI WENGINE.
KWENDA KUOMBEWA KWA SHEHE AU MCHUNGAJI SION KAMA NI TATIZO,TENA BORA YA KWENDA KWA HAWA KULIKO KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI.


USHAHIDI WA MATENDO YA HAWA WATU NI MENGI.
MIMI NATOA HUU[emoji116]

KUNA MTUMISHI MMOJA ANAJIITA APOSTLE D.M, ANA KANISA LAKE KULE BOKO, DSM. ANAENDESHA GARI YA DISCOVERY NYEKUNDU. KAZAA NA ALIYEKUWA MWANA KWAYA WAKE, ANAITWA ERICA (MCHAGA) MTOTO WAO NI WA KIKE, MIAKA 2.5 SASA. NA ALIMPANGISHIA NYUMBA ENEO LA MIVUMONI UMOJA ROAD, TEGETA DSM.YEYE MTUMISHI (WA MUNGU!!) ANAISHI MASHAMBA YA JESHI (TEGETA WAZO HILL).KWA SASA BINTI ANAISHI BUGURUNI KWA MZAZI WAKE. HUYU JAMAA ANA VIPINDI VINGI VYA TV PALE WASAFI.

NINA NGUVU YA KUANDIKA HAYA SIO KWA NIA YA KUCHAFUA MTU, BALI KUUWEKA WAZI UKWELI.
Mmmh.. K jamani K
 
Dini zimeletwa lakin bado mamtu hayaelew yanagombana pumbaf
 
Back
Top Bottom