Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

dini hiyo hiyo inayoMkataza dk. JJ Mwaka kulala na wake zake kitanda kimoja, ndiyo dini hiyo hiyo pia inawakataza Wanaume kula "NDOGO" kitu ambacho baadhi ya Masheikh & Wachungaji wanafanya kwa mujibu wa dk. JJ Mwaka. Dada Mkubwa wa USA aliwahi kuPost wahanga wakilalamika kuliwa NDOGO na Sheikh mmoja wa DAR.
Usichomifahamu ni iki Dini iyo unayoiongelea aina makosa wala makando kando yani imenyooka naongelea dini ya kiislamu mafundisho yote yapo ukiamua kuyafuata ni sawa usipoyafuata ni juu yako na nafsi yako shekhe au ostaz ni mtu kama wewe kama anafanya mambo machafu aimaanishi dini ndio imeruhusu No bali ni nafsi yake na atawajibika kwa mola wake yeye mwenyewe
 
Naona watu wasiokuwa na elimu na dini ya kiislamu wanamtetea Tabibu mwaka siwezi kumwita dr kwasababu atambuliki kisheria kama ni dr uislamu umeweka sheria kwa yule mwenye uwezo wa kuowa mwanamke zaidi ya mmoja shekhe yupo sahii ni haramu kulala nao wote kitanda kimoja tukirudi kwa mtume muhamad s.a.w kipindi anaumwa wake zake walipeana zamu ya leo analala kwa uyu kesho kwa uyu mpaka ilipofikia hatua wenyewe wakaelewane kuwa akauguziwe kwa mtu mmoja , je mtume alishindwa kuwaambia wote wakusanyike nyumba moja wamuuguze? na kingine kwenye uislamu hakunaga ku compare dhambi kwa dhambi eti kwa mfano mzinifu amwambie mwizi ni bora dhambi yangu ndogo tofautì na yako au mwizi amwambie mzinifu ni heri ya mimi ninayeiba kuliko wewe mzinifu na kingine kwenye uislamu akatazwi mtu kukemea pale linapofanywa jambo baya ambalo limekatazwa kwenye dini eti kisa tu uyo mkemeaji anajulikana kwa madhambi anayoyafanya .. alichofanya tabibu mwaka ni kinyume na mafunzo na mila za uislamu kumtolea mtu aibu zake adharani ..nikija kwenye mambo ya kuombeana ni kweli shekhe yupo sahihi ni haramu mkristo kumuombea muislamu wala muislamu kùmuombea mkristo kwa nafundisho ya qurani na sunah mkristo bado ajahamini kuwa mungu ni mmoja na mtume muhamad ni mjumbe wa mungu .. washirikiane kwenye mambo mengine lakini siyo ya kiroho
 
Isije kuwa 'malumbano' hayo ni "staged', na directors wapo pembeni kuona kama lengo litafanikiwa au la
 
Kila mtu apambane na dini yake

Kama we ni mkiristo ombewa na mkiristo mwenzako kama wewe ni muislamu ombewa. Na mwislamu mwenzako


Hatutaki tena hizi vurugu na mchanganyano na vijembe vya chinichini
Sasa kale ka ibada ka-wawili ndani ya kivazi cha kuzaliwa kanataka kuvurugwa; mwacheni kila mtu aamue anataka DUA kutoka upande upi
 
sheikh alhaji ataacha lini kufukua mitaro michafu?

Halafu kuna sehemu pale mwenge alikuaga akija kula kitimoto ni sheikh mchafu sijawahi kuona

Anapenda kuwaingilia wanawake kwa waume kinyume na maumbile huyu firauni
 
sheikh alhaji ataacha lini kufukua mitaro michafu?

Halafu kuna sehemu pale mwenge alikuaga akija kula kitimoto ni sheikh mchafu sijawahi kuona

Anapenda kuwaingilia wanawake kwa waume kinyume na maumbile huyu firauni
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Sawa kapangiwa sikatai ila faragha yake pia unampangia ili iweje ile ni faragha shekhe unampangiaje faragha yake yeye na wake zake? Hayo masuala mengine sitaki kuyazungumzia mkuu tuende kwenye mada kuu usinitoe kwenye reli

Hivi unaelewa maana ya faragha?
Hata huko kuingilia kinyume na maumbile kuliko katazwa nako ni suala la faragha ila kumekatazwa sasa wewe unaposema faragha ni sawa ila hiyo faragha yako isiwe inahusu jambo ambalo kinyume sheria.
 
Nionyeshe ni wapi pameandikwa marufuku mwanaume wa kiislam kulala na wake zake wawili kwa pamoja weka bandiko? Hayo maswala mengine hayanihusu
Sasa hilo ndio ulitakiwa uhoji toka mwanzo na sio kushikilia kuwa hakuna tatizo kulala na wake zako wawili pamoja kama vile una andiko lenye kuruhusu hilo jambo.
 
Inawezekana mwaka kaiga hii , Muhammad alikuwa anapiga wanawake 9 kwa siku bila kuoga

Muhammad used to go round (have sexual relations with) all his wives in one night, and he had nine wives. Sahih al-Bukhari 5068
 
Sheikh pia yupo sahih , Muhammad sio tu kutoa Dua kakataza mpaka kutoa salamu kwa wakristo

Muhammad alisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa ya njia.
Sahih Muslim 2167
 
Nimewasikiliza wote Sheikh na huyo Bwana Mwaka na sioni mantiki ya Bwana Mwaka kumjibu vile Sheikh Alhadi. Ni kuendeleza malumbano yasiyo na faida.

Kama unamjua kuwa Sheikh fulani siyo mwema si umuache tu uende kwa mwingine?
Ila Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Bakwata Alhad yasemekana ndiyo bingwa kwa kuwadhalilisha wanawake kinyume na maumbile
 
Ila Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Bakwata Alhad yasemekana ndiyo bingwa kwa kuwadhalilisha wanawake kinyume na maumbile
Aliye na ushahidi basi na auweke hadharani. Hata hivyo mada aliyozungumzia huyu Sheikh haihusiani na kudhalilisha wanawake, imehusu akina mama wanaokwenda kwenye maombi.
 
Back
Top Bottom