Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Ukweli tutaujua kwa ushahidi kinyume na hivyo alichofanya Mwaka ni tuhuma tupu, halafu hizo tuhuma sio ngeni Mange kimambi alishazisema pia, sasa Mwaka inaonesha amekasirishwa au labda yeye ndio alitaka Sheikh asiongee au kukosoa anapoona jambo halipo sawa kisa tu yeye Mwaka anajua mambo ya faragha ya Sheikh ambayo Mwaka mwenyewe haku yathibitisha ni tuhuma tu..Kwa vile sheikh aliongelea yanayomhusu Dr. Mwaka, ni sawa na yeye kujibu. Kwani sheikh katajwa? yeye Dr. Mwaka kaongelea ukweli na kwa jumla jumla tu/ Ana haki ya kuongea au kwa vile sheikh wa mkoa kajihisi!