political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Usichomifahamu ni iki Dini iyo unayoiongelea aina makosa wala makando kando yani imenyooka naongelea dini ya kiislamu mafundisho yote yapo ukiamua kuyafuata ni sawa usipoyafuata ni juu yako na nafsi yako shekhe au ostaz ni mtu kama wewe kama anafanya mambo machafu aimaanishi dini ndio imeruhusu No bali ni nafsi yake na atawajibika kwa mola wake yeye mwenyewedini hiyo hiyo inayoMkataza dk. JJ Mwaka kulala na wake zake kitanda kimoja, ndiyo dini hiyo hiyo pia inawakataza Wanaume kula "NDOGO" kitu ambacho baadhi ya Masheikh & Wachungaji wanafanya kwa mujibu wa dk. JJ Mwaka. Dada Mkubwa wa USA aliwahi kuPost wahanga wakilalamika kuliwa NDOGO na Sheikh mmoja wa DAR.